Recent content by Mrao keryo

  1. Mrao keryo

    Kihongosi: John Heche ananufaika Tundu Lissu kuwa gerezani

    hizi akili wangezitumia kidogo angalau kumshauri m/kiti wa ccm jinsi ya kuishi na watu vzr
  2. Mrao keryo

    Rais Samia: Kazi ya Waziri Mkuu sio kuzunguka na kuuliza shida za wananchi kila mkoa

    mi nadhani hii serikali ya awamu hii kwa ujumla haijui majukumu yake
  3. Mrao keryo

    Safi sana Mheshimiwa John Heche!

    Heche ni mwanaume haswaa!tokea pande za Tarime .kanifurahisha sana kwa msimamo ..."eti mwenyemgogoro anaandaa mazungumzo ya mariadhiano"
  4. Mrao keryo

    Mchambuzi & mwandishi Aloyce Nyanda: Sababu kubwa tatu (3) kwanini CHADEMA ni muhimu kwenye mchakato wa maridhiano na katiba mpya

    hakika wewe ndio mpuuzi kwa kushindwa kuutambua ukweli. nyinyi ndo machawa mnakula na kulala bure ndo maana hahamna mawazo ya kujenga bali kubomoa
  5. Mrao keryo

    Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

    Kuna Euro lodge ipo sinza palestina .bei ni 25000
Back
Top Bottom