Recent content by Mkulima

  1. M

    Kujikwaa kisiki mara mbili

    Hapo kuna mambo mapya ambayo hayakuwemo kwenye maombi ya Lissu alivyokutana na Samia Belgium. Moja ni hilo la Mediator. Utapeli wa yale mazungumzo ya kwanza umewapa maarifa Chadema ku demand an independent Mediator.
  2. M

    Trump Ayasifia Majiji ya China na Kuyaponda ya Marekani.

    Hapo Trump anaongelea majiji machache ya China. Hayo ni majiji mapya na hivyo yana ubora mkubwa kuliko majiji ya zamani ya USA. Ila miji mingine mingi ya China hasa vijijini bado ipo nyuma sana ukilinganisha na USA. Kiujumla inaweza kuwachukua China miaka mingine 50 kwa nchi nzima kuwafikia...
  3. M

    Kujikwaa kisiki mara mbili

    Maazimio ya Chadema kuhusu maridhiano ni haya hapa: Masharti na madai ya CHADEMA 1. Kuachiliwa huru kwa Tundu Lissu – Mwenyekiti wa CHADEMA aachiwe huru kabla ya kuanza mazungumzo ya maridhiano. 2. Kuachiliwa kwa watu waliotekwa na kupotezwa – Serikali ichukue hatua kuhusu watu waliotekwa...
  4. M

    Kujikwaa kisiki mara mbili

    Mkuu Unakosea sana. Heche hajasema akiachiwa Lissu wataenda kwenye maridhiano. Kuachiwa kwa Lissu ni condition moja tu kati ya conditions kadhaa zinazotakiwa ikiwemo ya maridhiano Chini ya msimamizi huru.
  5. M

    Jaji Masaju: Tusiruhusu Taifa letu kutawaliwa tena na Wakoloni

    Mbona Tayari Tunatawaliwa na Wakoloni weusi?
  6. M

    Tumemfuga huyu mzungu anayejiita Bongozozo sasa naona anataka kutupanda kichwani. Tuache kumpa nafasi huyu mzungu siyo mwenzetu

    Wakimgusa beberu, mama yao anaweza kutolewa na chupi Kama wale wa Venezuela
  7. M

    Bongo Zozo na hoja ya Msingi

    CCM na Machawa yao hawataki hayo. Wanataka funika Kombe Mwanaharamu apite.
  8. M

    Maria Sarungi: Makamu wa Rais Ndejembi ana kesi Uingereza anadaiwa faini mahakamani bado hajalipa

    Uki ignore vitu vidogo utaishia ku ignore vitu vikubwa. Inaelekea huyu bwana Ana mambo yake mengi huko UK. Kwa mwanasiasa Ilitakiwa mambo kama haya angeyaweka sawa kabla ya kuingia huko kwenye siasa. Na TISS wanafanya nini? Ni kama ya yule Balozi ambaye alikuwa na uraia pacha na hawakujua mpaka...
  9. M

    Je, CHADEMA imekubali ife ili izaliwe upya???

    Chadema Komaa hapo hapo. Huu msimamo wenu wa Sasa ndio wananchi wengi wa Tanganyika wanautaka.
  10. M

    Maria Sarungi: Makamu wa Rais Ndejembi ana kesi Uingereza anadaiwa faini mahakamani bado hajalipa

    Makamu wa Rais kuwa na kesi nje ya nchi hakuna umuhimu? Hilo tu TISS wangelikuwa wanafanya kazi ingemnyima hicho cheo
  11. M

    Rais Samia: Uchumi wa Nchi uko vizuri na wananchi wana fedha mkononi

    Wambura alikuwepo kwenye Mkutano wake huo?
  12. M

    Kwani 340M za Baraza Kuu zilienda wapi?😄😄😄

    Dola haishikwi na pesa hushikwa na binadamu wenye akili timamu na ambao hulipwa mishahara. Chadema kuendelea kuwa imara bila ruzuku yoyote ni ishara tosha wana uwezo wa kuendesha mambo Yao bila kuchota serikalini
  13. M

    Kifo cha binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, hata pole hawajatoa!

    Huyu mama na utawala wake hovyo kabisa. Ni wauaji wakubwa. Wamemuua huyu Mtoto ili kuficha ushahidi.
  14. M

    PostGE2025 Je, Samia roho yamsuta? Mtoto Angel alopigwa risasi 29 Oktoba 2025, asaidiwa na kununuliwa Nyumba Upanga!

    Mfadhili Samia mwenyewe huyo. Ilikuwa makosa makubwa huyo Mtoto kwenda Muhimbili. Wangeomba akatibiwe nje
Back
Top Bottom