Recent content by misha

  1. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Mzee Mohamed Said, " mdomo haumkatai bwana wake"! Utafiti wako ulikoma pale ulipochapisha kitabu? Wewe huoni kinachoitwa reasonable doubt? Au umeziba masikio kabisa mkuu wangu? Medali wangepewa wangapi ndugu yangu? Nchi nzima walishiriki kwa hali na mali, na wengine waliathirika sana na ujio...
  2. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Mzee Mohamed Saidi, sijasema Shehe Ramia alikuwa mtabiri, kwenye you tube kuna video ambayo hata wewe umo inaitwa "karama na maajabu ya Shehe Ramia--kalamumedia" neno tabiri ujio wa uhuru lipo linahusishwa na Shehe Ramia, kutoka kwa wanafamilia. Neno tabiri siyo lazima litokane na kupiga ramli...
  3. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Shehe Ramia wa Bagamoyo alitabiri ujio wa uhuru na mtoto wake Shehe Mohamed Ramia alibaini kuwa ni Kambarage. Wangoni wa Kariakoo walikuwa na utabiri ulioelezea hata muda Kambarage atafika Dar kuleta uhuru. Wadau hawa walikuwa wanafanya mapenzi ya Mwenyezi Mungu na si vinginevyo. Maneno ya kuwa...
  4. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Mzee Mohamed Said, wanahistoria mna msemo unaosema " a text without context is pretext" na vilevile elimu haina mwisho. Umekiri kuwa huifahamu dhana ya Mwl. Nyerere kuwa alitabiriwa kuleta uhuru, na umeombwa uliulizie hilo kwa familia za wazee wa Kariakoo, Bagamoyo walioko kwenye maandiko yako...
  5. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Asante mzee Mohamed kwa maelezo yako. Nakuomba uziulize familia za wazee wa TANU na waasisi wa TANU kuhusu hilo , halafu utupe majibu, ikilazimika tutangalia ushahidi uliohifadhiwa kwani upo.
  6. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Mwi. Nyerere yupo kwenye mchakato wa utakatifu kupitia kanisa Katoliki, maisha yake hayapaswi kuwa siri, kama huyu mtu ndiye aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu kuondoa minyororo iliyokuwa imewafunga wananchi , kwanini wananchi wenye minyororo wasimwombe Mungu...
  7. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Labda sijakuelewa vizuri econonist, nionavyo mimi kisa si Nyerere , nadhani kuna tofauti kati ya historia ya TANU na mambo ya nyakati ya TANU. Si kila kitu cha TANU ni historia ya TANU, neno historia hutumika kwa maana na namna tofauti katika jamii, kama yalivyo maneno kama siasa, sanaa na...
  8. M

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Mzee Mohamed Said unachoeleza ni kweli-mambo mengi ya TANU hayaelezwi, hata wewe kuna baadhi unayafunika! Wazee wako wa Kariakoo, Bagamoyo,Tanga na kwingineko, wengi walimpokea Kambarage kama mtabiriwa atakayeleta uhuru, mwanzoni walimuita hivyo hadi alipowakataza! Mambo mengi waliyomfanyia...
  9. M

    Tofauti ya neno "shusha" na teremsha

    Nielewavyo mimi ni maneno mawili yenye maana zinazoelekeana lakini siyo sawa,mfano mtu anashuka shimoni,mtu anateremka bondeni; basi linapofika kituoni linateremsha abiria,ambapo polisi wa trafiki akisimamisha basi na kuna abiria waliozidi,basi huwashusha. Mkwea mti anaweza kushuka au...
  10. M

    Rushwa na Hongo

    Haya ni maneno tofauti,ingawa hutumiwa na wasemaji wengi wa kiswahili kumaanisha hali moja. Hongo ni tozo sawasawa na kodi,kwa mfano watawala wa jadi waliwatoza au waliwasamehe wafanyabiashara waliopita au kufanya biashara kwenye himaya zao,kwa hiyo hongo lina uhalali unaendana na maadili ya...
  11. M

    Mkuu wa kaya anaposhindwa kuziamini taasisi zake

    Binafsi nimeisoma ripoti ya CAG kuna mapendekezo aliyoyatoa kwa mamlaka husika,TAKUKURU iliviambia vyombo vya habari Mwanza kuwa imekabidhi ripoti,hii ilifanyika kabla ya ripoti ya CAG,kwa maana hii,CAG kama alikuwa na jipya TAKUKURU iliwabidi wayafuatilie kama CAG alivyopendekeza. Waswahili...
  12. M

    CHINA: Mafisadi wananyongwa TZ ni majembe wenye uthubutu

    Usije ukasahau upande mwingine wa sarafu, viongozi wa China ni matajiri kuliko viongozi wengi duniani,je wanabiashara gani za kuwaingizia hizo pesa? Ni vizuri kuilinganisha nchi yetu na nchi nyingine,kikubwa ni kutokomeza yale ambayo jamii ya kitanzania haikitaki
  13. M

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    ....Kwa hilo nimemwelewa Ndugu yangu Yericko,maana haiji akilini jasusi wa CIA &MI5,kumbe ni code names za watu.
  14. M

    Nionavyo kuhusu CHADEMA

    Ndugu zangu hayo ni maoni yangu binafsi,kama nimewakwaza poleni/samahani,baada ya kusema haya kuna ushahidi na si porojo,maoni ni namna mtu anavyoutafsiri ushahidi.Haya mambo ya BAVICHA,na mengine kama hayo si yangu kusema. Kazi ya upinzani ni kuiweka sawa serikali,ndiyo maana nchi nyingi zenye...
  15. M

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    Hii ya ndugu yangu Yericko imekaa isivyo,angesema magaidi wenye kujitoa hapo sawa hawaogopi kunaswa,mimi naona kama ni propozo ya makandarasi wenye kufanya dili za ulinzi,wanatengeneza fear isiyokuwa na kichwa wala mguu.CIA & MI5 ni profesheno,nilichomshauri ndugu Yericko ni hatari ya kuwepo...
Back
Top Bottom