Mkuu malaika ni higher than jinns pia utendaji wao ni tofauti...
Malaika unaweza kumuita na kutoa ombi lako ni kwamba tu they work different.. Huwa wana maintain balance
Malaika ukijua ilmu na namna ya kuwaita na kuwasiliana nao, mambo ni chap tu mkuu
Binadamu na mbwa wote ni viumbe hai.. Wote wana mahangaiko na mateso yao..
Mkuu unataka kusema mbwa na paka hawastahili matunzo? Kwamba ni binadamu pekee ndio wa kusaidiwa?
Huyo huyo binadamu kuna mda anapata msaada kutoka kwa mbwa.... (sigh)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.