Recent content by Mhina Martin

  1. Mhina Martin

    ST farms agribusiness

    Kilimo cha sasa si cha kizaman unalima hujui soko slogani ya kilimo cha kisasa ANZIA SOKONI nenda shamba karibu St Farms
  2. Mhina Martin

    ST farms agribusiness

    Kila jambo ni uthubutu, timing na malengo ukisubiri kila kitu uanzishiwe we ndo utie miguu utakuwa umechelewa Sana
  3. Mhina Martin

    ST farms agribusiness

    St farms tulifanikiwa kupanda na ilipofika siku ya nne zikachomoza vizuri nasi tukawa tumeandaa dawa ya wadudu wanaokata aina ya dudukiller pamoja na busta aina ya fastgrow tulipuliza shamba zima ili kuweka mmea salama. Baada ya hapo tukanza ratiba ya kunyweshea Maji kila baada ya siku...
  4. Mhina Martin

    ST farms agribusiness

    https://www.instagram.com/p/DfzlI_uoMTM/?dlrf=MXRyMXB3cDExd2U0eg==
  5. Mhina Martin

    ST farms agribusiness

    Follow https://www.facebook.com/profile.php?id=61596418840364
  6. Mhina Martin

    ST farms agribusiness

    KILIMO CHA TIKITI MAJI TANGA KOROGWE . 0716898393 St farms ilianza na maandazi ya shamba kama inavyoonekana. baada ya kumaliza kulima tulianza mchakato wa kutengeza mifereji na matuta au majaruba kwa vipimo tuta hadi tuta umbali wa mita mbili mpishano wa mifereji ya kupitisha...
  7. Mhina Martin

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    https://www.instagram.com/p/DfzlI_uoMTM/?dlrf=MXRyMXB3cDExd2U0eg==
  8. Mhina Martin

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    https://www.facebook.com/share/p/1KjDqKAkwA/
  9. Mhina Martin

    Mchele mzuri unaonukia saro gredi one unapatikana kwetu

    Gred 1 aina ya mchele ni saro five inayonukia gharama ya usafiri ni Elfu sita kwa kila kiloba cha Kilo Hamsin
  10. Mhina Martin

    MCHELE MZURI SARO GREDI 1 KARIBU

    MCHELE MZURI SARO GREDI 1 BEI YA JUMLA TSH 1900/= TUWASILIANE NAMBA 0716898393 au Whatsapp 0714994833 popote tunatuma
  11. Mhina Martin

    Mchele mzuri unaonukia saro gredi one unapatikana kwetu

    Karibu mchele bei ya jumla Tsh 1900/=
  12. Mhina Martin

    Pitching ya uwekezaji

    PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS. Tunajishughulisha na uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mpangilio wa misimu ili kuhakikisha tunazalisha mwaka mzima...
Back
Top Bottom