Recent content by Mfikirishi

  1. Mfikirishi

    Yeriko Nyerere: Najutia kuwahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA

    Team Mbowe hao... Jamaa alikuwa anajinufaisha sana na uchawa kwa FAM! Alipokuwa CDM alijiinua sana?
  2. Mfikirishi

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke ni mapinduzi kwa haki na usawa wa wanawake sio tu nchini bali kwa Afrika na dunia

    Injili itaendelea kusimama... Hicho ulichoandika hakibadilishi unabii wa maandiko!
  3. Mfikirishi

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Fuatilia nyendo na kauli za machawa wa FAM... Utanibaini ukweli wao!
  4. Mfikirishi

    Dk. Mbunda: Tunapaswa tuketi makundi yote mezani na hapo maridhiano yatakuwa na sura ya kitaifa

    Maridhiano na nani? Kwanini? Lini? Wapi? Kivipi?
  5. Mfikirishi

    Kibaha: Mbunge na Meya waumana katikati kikao cha baraza

    Hao wote ni haramu... Meya haramu... Mbuge haramu
  6. Mfikirishi

    Serikali ya Tanzania imetetea uhuru wa mahakama kufuatia hukumu ya Tundu lissu

    Yaani serikali kuja kuitetea mahakama ni ishara tosha kuwa mahakama haipo huru! Mahakama huru ingejitetea yenyewe!
  7. Mfikirishi

    Tetesi: Lissu atahukumiwa kufungwa tena baada ya kushinda Rufaa katika kesi ya Uhaini ya Mchongo

    Mithali 14:1 "Mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huivunja kwa mikono yake mwenyewe."
  8. Mfikirishi

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke ni mapinduzi kwa haki na usawa wa wanawake sio tu nchini bali kwa Afrika na dunia

    Mithali 14:1 "Mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huivunja kwa mikono yake mwenyewe."
  9. Mfikirishi

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Sijui kwanini mnapindisha pindisha ukweli! Waliouawa ni WaTanganyika... Na wauaji wanafahamika! Lakini kama ilivyo ada... Mithali 14:1 "Mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huivunja kwa mikono yake mwenyewe."
  10. Mfikirishi

    PostGE2025 Kikao chao cha Maridhiano chaahirishwa kwa Muda usiojulikana

    Nashangaa... Mtu umepata ushindi wa 98% why unahangaika kusaka maridhiano?
  11. Mfikirishi

    Utamkumbuka Samia kwa yapi?

    Urais si nafasi ya kila mtu. Hasa illiterates.
  12. Mfikirishi

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Wabunge na serikali ni lazima watokane na mchakato huru wa uchaguzi uliojikita kwenye misingi ya uwazi, uwajibikaji na haki! Kama hujui kwanini CDM walisusia uchaguzi basi hufai kuwa hai!
  13. Mfikirishi

    Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Linapenda kujifunga matambara kichwani kuficha mengi
  14. Mfikirishi

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Odero Charles Oderos ebu acha udalali kwenye maisha ya TAL na hatma ya Tanganyika. Lissu yupo tayari huyo SAMIA wako afanye chochote atakacho... Lissu hana makosa! Acha kufundisha watu ujinga!
Back
Top Bottom