Kwanini baada ya kugundua dosari hiyo huku hama mapema? Mpaka umefika mwaka wa pili .
Hiyo ya kufanya mtihani wa special inawezekana wasimamizi walivyo kuja kusimamia , walikuta makosa ambayo hamjaambiwa na uongozi wa chuo , ndo maana imepelekea kufanya special exam mwezi December.
Hapo...
Kwa kuwa haujazaa nae bado. Achana nae. Katafute mke wako. Huyo ni mke wa mtu tayari. Ona unavyo teketeza laki nne yako. Kwani unadhani bilaa wewe huyo mtoto hataishi? Ndo maana hata ndugu wa mkeo wanakudharau.
Unacho fanya wewe ni kamari. Hata ukifanya hivyo. Mtoto akisha kuwa mkubwa yeye ndiye mwenye maamuzi , haijarishi ulimsomesha au ulimfanyia nini.
Kama unatoa huduma kwa huyo mtoto toa tu sadaka lakini siyo kwa target ya kwamba atakuja kuwa msaada wako badaee.
Ndo maana wengine wanakushauri...
Wewe huyo dada hukumpenda. Ulimuonea huruma baada ya kumkuta kwenye maisha magumu kama ulivyo sema. Sema tu ukute mwanamke ni ana matako ndo maana ukashikilia hapo hapo. Au baada ya kuonjeshwa ukanogewa
Natafuta madogo wawili ambao wako mtaani hawana mitikasi niwafundishe udalali wa nyumba,viwanja na magari pengine itawasaidia kwa kipindi hiki ambacho hawana ajira rasmi
ukiwa dodoma itakuwa poa zaidi
nicheck whatsap-0622111186
GIVING BACK TO HELP THE YOUTHS
Taja kozi ambazo ni nzuri mkuu, za kuwashauri wadogo zetu wasome , na sababu zake. Maana wanacho waza ni udaktari tu ,hawaoni kozi nyingine, je kozi ni zipi?
Ada ilikata kutokea wapi mkuu?
Mwaka huu unge graduate, Ada ilikata 2025 , huo muda wote ulikuwa unafanya nini mpaka muda huu?
Una hisi uta wa discourage wazazi wako kivipi wakati ada ilikata? Ukashindwa kuendelea kusoma.
Kama ada ilikata , uliandika barua ya ku postpone chuo ? Kama uliandika...
Kwanini hukuwaomba nauli ukaenda kufanya supp, maana ulikuwa unajua kabisa usipo Fanya supp , utarudia somo mwaka mzima na gharama utalipa tena ,
Au ulilazimishwa kusoma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.