Recent content by mbwangali

  1. mbwangali

    Rasmi nasapoti operation kataa ndoa

    Karibu sana mkuu sisi kama waandamizi wa KATAA NDOA COMMUNITY tunakukaribisha sana kwenye ukanda huu wa kukataa utapeli
  2. mbwangali

    Mke wangu amegundua meseji za mchepuko wangu, nifanyeje?

    Kama mkeo akili zake ndogo basi tumia huo utetezi ila kama mkeo ni aina ya wale wanawake wenye akili basi utazidi kujiweka matatani.
  3. mbwangali

    Uchaggani, sitawahi kaa niende huko!

    Pole kwa uliyopitia ila sasa suala la upumbavu wa familia yako unaliingiza vipi kwenye jamii yote ya kichaga?? Wewe ilaani familia yako na si wachaga
  4. mbwangali

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Ni kwasababu haelewi ndio maana anataka wewe umpe uthibitisho ili aelewe, kama wewe huna uthibitisho means na wewe ni kama yeye tu sema wewe hujajiweka wazi
  5. mbwangali

    Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    😄😄Mtibeli umeandika kwa tambo za kuchekesha sana. Nakumbuka mwaka 2006 brother alipangiwa kazi ya ualimu huko wakati anakwenda kuripoti nilienda nae aisee 🙌🙌 lile vumbi sio poa maana tulifika hapo mchana jua linapiga balaa. Bro alishindwa kukaa huko akalazamika kuomba kwenda kusoma japo hakutaka...
  6. mbwangali

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Moja ya ladha ya maisha ni mtu kufanya kile akipendacho hata kama wengine wanakiona hakina maana ilimradi asivunje sheria wala kukinzana na imani yake. Watu tunatofautiana vipaumbele mkuu, ndio maana kuna mtu akipata hela anataka apate gari wakati mwingine anataka nyumba mwingine anataka kula...
  7. mbwangali

    Najuta kudate na Ordinary Ladies, wanaharibu maisha yangu

    Acha kujitetea mkuu we lea hao watoto na hizo mimba, kama huna mpango nao kwanini unafanya nao ngono zembe au wanakubaka?
  8. mbwangali

    Mke wangu anapenda kuniuliza niko wapi, mimi sipendi swali hilo!

    Tukiwaambia KATAA NDOA wanaona tumelaaniwa
  9. mbwangali

    Mke wangu anapenda kuniuliza niko wapi, mimi sipendi swali hilo!

    Hakikisha unampa majibu yanayozalisha maswali kila siku ataacha mwenyewe
Back
Top Bottom