Taja msikiti ulikoona wanauza pete za majini?
Hakunaga uchawi wa mitishamba.
Umeona zile dawa za hospitali na vidonge vyote kwa ujumla asili yake ni mitishamba ila zimefanyiwa modification.
Shida yako ni lugha hujui ndio kinachokuchanganya wewe
Haya mambo ndio yalianzia kule mkuu unawaona live,kule wanaita pole dance wanacheza uchi kisha utakayempenda unamuita anakukalia kwenye sofa unamfanya utakavyo.
Mambo yote ya kishetani unayoyajua wewe huwa yanaanzia South Africa,Nigeria kisha yanasogea Kenya kisha ndio yanaingia Tanzania.
Unaongelea fundi gani mkuu wakati huyo jamaa amekopi maelezo ya google akayaweka hapo sio ya kutoa kichwani kwake na hao waliojibu hayo maswali wako Nigeria kwa hiyo mtaibeba gari muipeleke Nigeria ili itengenezwe?
Muda mwingine wanawake hujidanganya kwamba akiona mnamiliki mali huanzisha mfarakano kwa makusudi ili apate mgao wa mali sasa akikutana na gaidi anasiliba mwisho wa siku anakosa vyote.
Alianzia kuwa diwani miaka mingi sana kabla hata huyo Diamond hajawa star.
Kwa hiyo wananchi wake hawakumpa kura kwa bahati mbaya wanamjua kazi yake vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.