NIDA ni jipu Kuna dada jina lake limekosewa kwenye NIDA haliendani na jina la kwenye vyeti vya taaluma na cheti cha kuzaliwa kubadilisha ety wanamwambia haiwezekani yaan mijamaa imekaa kiupugaji upugaji tu na sasa hivi wamepewa deal la vitambulisho vilivyoboreshwa shida inaanza upyaa.
Hiyo timu Mo akisema asijishughulishe na timu nawahakikishia mtatembeza mabakuli.
Kuendesha timu ni gharama kwakuwa ana pesa aachwe aiongoze timu sasa mtafanyaje na nyie wengine ni makapuku.
Kuna kitu sijaelewa kwenye hii mechi naomba ufafanuzi.
Kuna muda mchezaji wa Nigeria alitoa mpira nje ukawa wa kurusha ila kabla ya kurusha kulikuwa na mpira mwingine ndani ya uwanja, mchezaji wa Tanzania alivyomrushia mwenzake akachezewe faulo na mchezaji wa Nigeria na refa akapuliza filimbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.