Punguza tu ujuaji usio na ulazima na kujifanya mjuaji hakukuongezei kitu chochote zaidi ya kukuweka wazi ulivyo mweupe kifikra, mbona jamaa andiko lake lina hoja nyingi tu na zinatengeneza maswali yanayotaka majibu ?
Kama unataka kua na ufahamu japo kidogo tu kuhusu hiyo taasis tafuta kitabu kilichoandikwa na EVARIST CHAHALI kinaitwa SHUSHU Je Afisa Usalama wa taifa ni nani na anafanya kazi gani ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.