Recent content by manlu

  1. M

    TOYOTA HARRIER FOR SALE – MODEL 2003

    Huyu Muongo Muongo Sana tena Mjivuni...nenda kwa Brother Mrisho Mbega anajulikana kama Bingwa wa Magari Used anayejulikana Sana Kwa Na Laki Nane Tajiri atakuizia ndinga kama hiyo kwa Milioni 31
  2. M

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Robert kwa Robert mmekutana. Patamu hapo
  3. M

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Teeth huwa wanajikuta Sana Kwamba wao hawatakufa na Kwamba wao ni RAIA BORA SANA hapa Nchini. Ila bahati mbaya sana na wao wanakufa na kusahaulika.
  4. M

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Kweli JPM alikuwa MBABE SANA. MUNGU mpunguzie adhabu za Kaburi huko alipo. Rais wa Malaika
  5. M

    Watanzania 2, Mganda 1 wakamatwa na shehena ya dawa za kulevya za mabilioni katika operesheni Kenya

    Pakistan ni kama MBABE Sana. Kila siku anakiwasha kwa Muhindi wa India na India inakaa kwa kutulia kabisa. Pakistan wao Dili zote haramu wanapiga ili mradi tu wapate hela. Haina tofauti na Ecuador
  6. M

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Asante Studio. Tuletee TRA
  7. M

    Ogopa vijana wenye Ford Ranger na Prado za Dar es Salaam!

    Mwana aliyechomesha atakuwa Askari wa Boda ya Horohoro Tanga
  8. M

    Ogopa vijana wenye Ford Ranger na Prado za Dar es Salaam!

    Kama Boss kubwa ana maslahi hapo hakuna kesi
  9. M

    Watanzania 2, Mganda 1 wakamatwa na shehena ya dawa za kulevya za mabilioni katika operesheni Kenya

    Huyu ni Classmate ila tumepotezana tangu anyakuliwe na DEA-US
Back
Top Bottom