Recent content by Magezi bugaga

  1. M

    Natafuta mke umri miaka 35 - 40

    Ujitahidi ukimpata ujue kuhandle na stress zao za early menopause maana uwa inawapeleka ngijanginja
  2. M

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Mwanaume unayejitambua lazima uhakikishe appliance kama washing mashine, built in oven & microwave, dish washer , water boiler, fridge and freeze , chimney , pressure washer, vacuum cleaner , inductor cooker , pressure cooker n.k vinatakiwa viwepo maana vitafanya maisha yawe easy fikiria upo...
  3. M

    Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

    Hakuna kazi ngumu kama kucontrol kichwa cha chini
  4. M

    Fundi Umeme na Jamaa wa TANESCO nani yupo sahihi?

    Maana yake hata unit zinatembea si mchezo . Wanatuongezea ghalama
  5. M

    Fundi Umeme na Jamaa wa TANESCO nani yupo sahihi?

    Mkoa mbeya, wilaya mbeya mjini, kata ya iwambi, mtaa ndeje.
  6. M

    Fundi Umeme na Jamaa wa TANESCO nani yupo sahihi?

    Mm natumia jiko la inductor kupika ila mara nyingi mda wa jioni na siku za wikiendi jiko ukataa kabisa kupika . Hii shida inatokana na nn . Maana katika mda mwingine linafanya kazi vizuri
  7. M

    Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Katika mchakato wa mafanikio kifo kimoja ni changamoto sana kwa mfugaji maana anakuwa amepoteza fedha nying , all in all 5week and somedays tunazidi kusonga with 5 mortality
  8. M

    Ufugaji wa kuku wa mayai

    Kuku wote wanastahimili na kufanya uzalishaji kama ukizingatia principle za ufugaji wao
  9. M

    Ufaransa inaendelea kutokota bado UK.....

    Ila unaona ukomavu pale malawi siku tatu watu wangapi wali scotch the earth
  10. M

    Marekani kupitia chama cha Democats wanazidi kuwapa nguvu wahamiaji wasioipenda Marekani na Muslim brotherhood, ipo siku watatoa mlio kuzidi Paris

    Ya nchini mwako na wanaokutawala unawajua origin yao ? Au unakuwa washed na tactic za media
Back
Top Bottom