Recent content by Lyapizo

  1. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Barcelona kaona jana Madrid kapiga comeback na yeye Leo anataka kupiga comeback ausio😂😂
  2. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio poa mzee muhindi anataka Kula Hadi mechi za saa6 usiku
  3. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu uchawi aliuanzisha Jana Bayern Munich ndomana mambo magumu Hadi leo
  4. L

    Usijichanganye kuoa mchagga

    Mtoa mada naamini una points za kutosha tunaomba ufafanue kwa kina kwanini tusioe wachagga
  5. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema hao Tz huwa jau jau lakini kagoli kamoja Ako naamini watapata
  6. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka umetumia akili nyingi sana yaani kutengeneza huo mkeka
  7. L

    Wakili Paul Kisabo: Tumeanza mchakato wa Rufaa hukumu ya Tundu Lissu

    Yaani mifumo ya Nchi yetu ni changamoto kweli kweli yaani hao hao waliompa Lissu kesi ya uongo na hukumu ya ajabu kabisa ndio haohao wa kuwaomba Rufaa daah Mungu atusaidie sana
  8. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usiwaze kaka ngoja saiv wanaenda international jipe mapumziko kdg wakirudi trh20 tunaruka nao hawa
  9. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani kaka kubet sio poa ukiwa unajisetia timu zako unaona umetuliza akili mwenyewe Ngoma ikianza tuh huelewi yaani
  10. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona Kama kuna timu yaani zinatufanyia uhuni wa waziwazi jamani
  11. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha tuh Lugano Leo katuua wengi
  12. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana ilikua siku ngumu kwangu Leo muhindi inabidi atubu hakuna namna
  13. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kazi ni ngumu sana kaka sema wengine tushakula kiapo hamna noma
Back
Top Bottom