Recent content by liberiuslaurian

  1. L

    Natafuta kazi

    HUDUMA YA HOME TUITION (HISABATI & SAYANSI) 📚✏️ Habari wazazi/walezi! Mimi ni Mwalimu wa PRIMARY (Astashahada ya Ualimu - Grade A). Ninafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi (Darasa la 1–7) masomo ya Hisabati na Sayansi. ✅ Namjengea mwanao msingi imara na kuondoa hofu ya masomo. ✅ Namsaidia...
  2. L

    Natafuta kazi ya Duka au Uwakala wa Miamala ya Simu na Benki

    💼 TANGAZO LA KUOMBA KAZI 💼 Mimi ni kijana mwaminifu na mzoefu, natafuta kazi ya Duka au Uwakala wa Miamala ya Simu na Benki (NMB, CRDB, M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, n.k.). Sifa zangu: • Mwaminifu mkubwa kwenye fedha na hesabu. • Kauli nzuri na huduma bora kwa wateja. • Nafahamu vizuri...
  3. L

    Natafuta kazi

    Duka likipatikana nalo sawa nafanya Ninao uzoefu
  4. L

    Natafuta kazi

    Form two
  5. L

    Natafuta kazi

    Sawa boss
  6. L

    Natafuta kazi

    HABARI ZA KAZI WAKUU Mimi ni kijana mkazi wa Dar es Salaam, natafuta kazi ya u-teller (kusimamia duka la miamala ya fedha ya mitandao yote kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa n.k). Sifa Zangu: 1. Nina Kitambulisho cha NIDA tayari. 2. Nina wadhamini wawili (2) waaminifu wenye barua za...
Back
Top Bottom