Recent content by Kubwjing

  1. Kubwjing

    Cons of Watching pornography and masturbation

    I agree with you
  2. Kubwjing

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    Teknolojia pia imeharibu sana mahusiano ht ya kindugu,mie nikiwa mdogo tulikuwa tukipelekwa na Mzee likoni kwa Aunt na kwa Babu mdogo Tanga just kuwasalimia qala si kingine
  3. Kubwjing

    Lami imepasuka katikati Mwanza na Kusababisha ajali

    Mwisho wa dunia / kiama🤣
  4. Kubwjing

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    Ni ukweli Upendo umepungua, naambiwa pia watu walikuwa wakitembeleana sana manyumbani mara kwa mara lakin tangu hizi simu ziwe nyingi hakuna tena hayo
  5. Kubwjing

    My Journey to start Marathon with JF

    Nani amesema anaacha? Au hujanielewa?
  6. Kubwjing

    My Journey to start Marathon with JF

    I do jogging, every 3 days in a week...began since I was around 15 yrs....walking & jogging
  7. Kubwjing

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Huwa naona mnaandika KKT au kanisa la Kisabato Adventist au Katoliki katika vibao vyenu kumbe wanakosea
  8. Kubwjing

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Mi ndio namfulia hapa sshv kisha nimpikie tambi zake, nisije kupigwa bure badae akirudi
  9. Kubwjing

    My Journey to start Marathon with JF

    Mbio hazina umuhimu ikiwa hata kutembea unatoa jasho
  10. Kubwjing

    Vitu ambavyo siwezi kutoa pesa yangu kununua, hata mia moja siwezi kutoa

    Kweli kwa TZ kama ni pizza nzuri ni Chocolate Pizza tu wallah
Back
Top Bottom