Recent content by Jonathan Kiula

  1. J

    Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

    Jamaa yuko vizuri sana
  2. J

    Stock traders wa JF tuungane hapa

    Mkuu Ma ndingo hizo zilikuwa hisa za kampuni gani?
  3. J

    Hivi wanasiasa wakisema kuwa DAMU Itamwagika huwa wanamaanisha damu ya nani?

    Wanamaanisha damu za wananchi wa kawaida (wao hawapo), tena wakiwa wanaongea utafikiri wanaongelea damu ya mbuzi au kuku, wanasiasa ni ni watu hatari sana, lakini HAKI ni jambo la muhimu sana kuliko Amani na kama HAKI haitendeki katika taifa lolote basi hakutakuwa na amani na damu za wananchi wa...
  4. J

    Lowassa: Naamini ipo siku nitakuwa Rais wa watanzania, endeleeni kuniombea

    Yes anaweza kuwa rais hakuna anayeshindwa kuwa rais hata wewe unaweza kuwa rais kikubwa upende kwanza kuwa rais then Fanya bidii katika siasa utakuwa rais,kwani waliokuwa marais wameshushwa kutoka mbinguni au walikuwa miongoni mwetu? hakuna lisilowezekana ukiwa na nia na bidii kwa mambo...
  5. J

    Serikali imetoa mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliotuma maombi 2015

    Hizo ni politics na uongo,wengi wamekosa mikopo tena nawafahamu kwa sura na majina hivyo hapo wahuni waache uhuni wao hili suala siyo la kufanyia utani na siasa za kipuuzi za bongo
  6. J

    Utajiri uliopo kwenye dhamana za serikali: Sehemu ya II (bonds)

    Ni dhahiri bonds zina security zaidi kuliko ununuzi wa hisa za makampuni
  7. J

    Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

    Pole sana ndugu yangu, Mungu awafariji na kuwatia nguvu, huu ulimwengu siyo mahali salama kabisa kwetu sisi cha kufanya tumche Mungu kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa mioyo yetu yote na kwa roho zetu zote, Mungu ampumzishe ndugu yetu na wote waliofariki katika ajali hii amen
  8. J

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ee Mungu uwapokee watumishi wako hawa, nimesikitika na kuhuzunika sana juu ya vifo vya ndugu zetu wanne Capt. William Silaa, Egid Mkwera, Casablanca Haule na Deo Filikunjombe, mlikuwa zawadi kwetu katika mapambano na tuliwapenda sana lakini mauti imewachukua tunalia na machozi yetu hakuna wa...
  9. J

    Ajali mbaya Njopeka

    Simaanishi hivyo mkuu Mbalamwezi1 ila nina maana kuwa kuna mazingira unakutana nayo ambayo hayaepukiki yanalazimisha kutokea ajali mfano ulikuwa unaendesha gari kwa mwendo wa kawaida tu tairi likapasuka nk lakini kumbukumbu za jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani zinaonyesha ajali...
  10. J

    Ajali mbaya Njopeka

    Sheria za usalama barabarani zikazwe zaidi na adhabu kali sana zitolewe kwa wakiukaji wa sheria na askari wa usalama barabarani ili kuepusha ajali zisizo za lazima, lasivyo tutabaki kusema rest in peace kila siku wakati wanakufa kwa uzembe wa madreva na maaskari wa usalama barabarani, Mungu...
  11. J

    Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

    Mimi sijui hao wengine walikotoka, namjua na kumwamini mmoja tu Kristo Yesu aliyetoka kwa Mungu, AMEN
Back
Top Bottom