Recent content by Johnny Sack

  1. J

    Huu ujinga wa zamu ya wakristo na zamu ya waislam kwenye urais ufe! Nchi haitasonga kamwe maana kuna kundi linairudisha nchi nyuma kila awamu yao

    Critics wapo kila awamu, Mkapa nae alisemwa sana hivyo, kiitikadi watu hatufanani. Tunachokesea ni kuweka udini kwenye kuchambua mapungufu au mafanikio ya viongozi. Kama mtu unaona ubinafsishaji una mapungufu ni sawa unaweza kutengeneza hoja yako bila kuingiza dini ya kiongozi
  2. J

    Huu ujinga wa zamu ya wakristo na zamu ya waislam kwenye urais ufe! Nchi haitasonga kamwe maana kuna kundi linairudisha nchi nyuma kila awamu yao

    Lakini mashirika ya umma yalibinafsishwa kwa sababu ufanisi wake ulikuwa mdogo, yalikuwa yakijiendesha kwa hasara, na badala ya kuzalisha yalikuwa yakiendeshwa kwa ruzuku za serikali. Kuna makosa yalifanyika, haikuwa perfect lakini faida ni kubwa kuliko hasara Kipindi cha Mkapa ndio kipindi...
  3. J

    Katiba ya Kenya iko overrated sana

    Hapana, maisha ya kawaida yanatokana na culture waliyojitengenezea watu, kama Kuna culture ya uwajibikaji basi watu watakuwa wanawakibika na kuwajibishwa bila hata katiba gani mnazosema
  4. J

    Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Huyu mtu kachanganyikiwa...😂😂
  5. J

    Katiba ya Kenya iko overrated sana

    Umefuatilia katiba ya Kenya pia? Au umefuatilia 'mambo ya Kenya tu"
  6. J

    Katiba ya Kenya iko overrated sana

    Kwa hiyo katiba ya Kenya Haina vipengele vya kushughulikia hayo mambo?
  7. J

    Katiba ya Kenya iko overrated sana

    Ni majaji wenye ujasiri sio katiba, unaweza ukawa na katiba nzuri ila majaji wakawa wanaiogopa serikali tu
  8. J

    Katiba ya Kenya iko overrated sana

    Kwani katiba ya Tanzania inasema ukiiba unasamehewa au unapewa cheo kingine?😂😂 Vitamin vingine vinahusiana na political will tu, sio katiba
  9. J

    Katiba ya Kenya iko overrated sana

    Katiba ndio inashughulika na mafisadi? Au ndio inaondoa ukabila?😂😂 Katiba ni kitabu tu ndugu, kitabu cha muongozo Sasa kuwa na katiba yenye muongozo mizuri ni kitu kimoja, wanasiasa kufuata hiyo muongozo ni kitu kingine tofauti kabisa Ndio maana Hawa wapinzani wa Bongo wanaosema eti katiba...
  10. J

    Magufuli ; wafungwa wafanyishwe kazi ngumu usiku na mchana na wazembe wapigwe mateke huyu hakuwa binadamu wa kawaida.

    Kuna watu wqnasoma wanaona aibu kumtetea, wanapita kimya kimya, ila Kuna wengine wanaivua aibu na kumtetea potelea mbali
  11. J

    Israel yatoa ofa kwa Watanzania, Wakenya na Waafrika wengine kuondoka nchini humo kwa hiari

    Kwamba kule ndio tuliahidiwa mito ya pombe na bikra 72, hapana...Ingekuwa ni hivyo si ingekuwa rahisi kwa kila mtu kwenda😂
  12. J

    Israel yatoa ofa kwa Watanzania, Wakenya na Waafrika wengine kuondoka nchini humo kwa hiari

    Tena bila kuwapa hata senti tano..,! South Africa nao sasa...! Hata kama unamke na watoto unawaacha
  13. J

    Israel yatoa ofa kwa Watanzania, Wakenya na Waafrika wengine kuondoka nchini humo kwa hiari

    Serikali inapowaondoa raia wa Burundi nchini tena bila kuwapa hata ndururu na watanzania ni wabaguzi pia, tena kwa jirani zetu weusi wenzetu?
  14. J

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Tafuta Hela Kubaguliwa kwa sababu ya uwezo wako wa kiuchumi ndio formula ya Dunia mbona, kwa namna Moja inatoa motivation watu kufanya kazi na kupata hela ...Nenda sehemu yoyote duniani, uwezo wa kiuchumi wa mtu unaleta tofauti kubwa sana jinsi anavyokuwa treated Na kwingineko sio kiuchumi tu...
Back
Top Bottom