Uemtolea mifano ya nafasi ya urais. Hiyo si sawa na kusema “nafasi yoyote”
Umesema Ndenjembi awe OG kama Maghufuli hiyo hawezi. Ndo maana nikakupa hiyo mifano kutokana na ulichoandika.
Sasa wafanye madudu halafu waendelee kuheshimiwa kwasababu hawawezi kuwajibishwa ndo itakuwa akili gani hiyo?
Hiyo si bad precedence? Utakuwa unawafundisha wajukuu zako mambo gani hayo?
Sasa unavyowazungumzia hao wenye mamlaka ni kama vile siyo watu waliotokana na sisi wananchi? Wameshushwa...
Atawezaje kuwa original na wakati aliyekuwa hivyo hadi sasa hatujui alipo. Na hata huyo Magu mwenyewe unafahamu alichosema Polepole.
Ni heri muingie mazima kuwatetea hao ccm wanaomiliikiwa na wahuni , na siyo hizi kauli ambazo ni “ambiguity”, maana wala hata hazina msaada wowote kwa CHADEMA...
Ulipozungumzia dislike 👎🏾 huoni kwamba umeshajikanusha wewe mwenyewe? Kuna ambaye yeye alikuwa na dislike kila post. Akiitwa Kitimoto
Huwezi kuwa na “mtizamo wako huru” Halafu ndo ufanye hivyo. Au haujui kwamba mtizamo wako unatokana na hoja ya hilo bandiko ambalo unali like ama ku dislike...
Hii sasa ni mahaba niuwe duuh!
Hata sijui akili gani hii mkuu?
Unapoongea hivyo huku Lissu hamtaki na yeye aongee na wananchi unashindanisha kivipi?
Hao watu waliopagawa na Ndejembi ni watu gani zaidi ya waliotayarishwa na waliomuweka Kobe juu ya mti?
Je yeye siyo product ya waliofanya...
Hata wasiwasi kuhusu Ben Saanane kuna ambao walsema nikawa nawabishia.
lakini pia nikawa na wasiwasi maana sikuona kama aliguswa sana na kupotea kwake. Na ukizingatia alikuwa msaidizi wake maalum.
Hata kwa Tanzania bado yangesomeka sana. Wasomaji wapo wengi sana tatizo ni magazeti hayo yamegeuzwa kuwa “propaganda tool” ya ccm na huku ccm ikiwa haipendwi na wananchi walio wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.