Hypotheis yangu ni hii:jamaa anampenda sana huyo aliyemuoa. Wewe ulikuwa ni puching bag baada ya yeye kuumizwa na huyo aliyeolewa. Hakupendi,alikiwa anajisahaulisha matatizo yake tu hapo kwako.
On the other hand,aliyeolewa ni opportunist. Anaangalia maslahi zaidi. Kwahiyo basi, jamaa(au ****??)...