FOREX inayofanywa na ma bank au maduka ya kubadilisha fedha ni tofauti na FOREX inayo fanywa mitandaoni. Ile ya bank ni biashara halali na inawezesha biashara za kimataifa. Ni mara chache kwa bank kupata hasara kutokana na kubadilisha fedha.
Hii ya mtandaoni ni "mchezo" Ni gamification ya...
Alisha fika umri wa ku retire, kampuni ni yake, hisa zake zinabakia kama zilivyo. Tayari hapo alipo ana mabilion ya fedha. Anakunja retirement package nzuri. Baada ya mida mfupi utamsikia kaanzisha kamouni nyingine. Hana hasara yoyote.
Mbona sioni tatizo lolote hapa. Ni. Kama unajipa stress tu za bure. Kuhusu kukuita babu mnatakiwa hasa mama yake amwambie huyu ni baba yako siyo babu.. Mtotoatafuata na mwisho atazoea kukuita baba.
Kama hauna uwezo mpeleke tu shuke za serikali hakuna ada. Usijipe stress za kusomesha watoto...
Kuna kujenga nyumba na kuna kupanga tofali. Wengi tumepanga matofali tupate mahali pa ku jistiri. Ila wenye mijengo kama ile kule Mbweni kwa kweli hongera zao sana.
Orientation yao ndo inawafanya kupenda fasion na kuingia kwenye hiyo industry. Kwa hiyo wakati wanaingia wanakuwa tayari ni mashoga. Mwanaume wa rijali hanaga mambo ya kupenda fasion
ICC wanasubiri mchakato wa ndani. Hawawezi kuingilia kama kuna mchakato mwingine unaendekea. Huo ukisha malizika bila majibu ya naswali muhimu kupatikana na bila wahusika kuchukuliwa hatua stahiki basi utawaona ICC hapa.
Kosa kubwa ambalo watumishi wa umma huwa wanalifanya ni kukopa bank na kuingiza hizo hela kwenye ku finance maisha yao kama kununua kiwanja, kujenga, kununia gari, kununua fanicha, kulipa ada za watoto etc. Vitu ambavyo havizalishi na haviwasaidii kurejesha mikopo. Hivyo wanajikuta kwenye...
Kuna vitu vitatu vinakosekana hapa ili nikupe ushauri wangu.
1. Ongezeka la mshahara ni shs ngapi.
2. Fani yako, yani masomo unayofundisha.
3. Mkoa ulipo
Hivyo nitakupa ushauri wa ujumla.
1. Hakuna mtu aliye tajirika au kuwa financially stable kwa mshara tu. 2.Mshahara tunautumia kama sehemu ya...
Nadhani swala muhimu hapa ni kujua namna ya kutoa mawazo yako, au kufikisha ujumbe wako au kujenga hoja mbadala, au kushawishi mtu akubaliane na hoja yako bila kumkwaza.
Cha kwanza kabisa inabidi uondoe neno kukosoa Kichwani mwako. Hauhitaji kumkosoa mtu mwingine. Kila mtu ana fikra zake na...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu tahadhari ya mvua za El Niño iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Baadhi ya wananchi wameanza kuibeza TMA na hata Serikali kwa sababu mvua zilizotabiriwa kuanza mwanzoni mwa Oktoba hazijanyesha katika maeneo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.