Mechi ya mpira wa wamarekani inachezwa mjini Arusha, lakini yanayotokea yananichanganya. Matarajio yangu ni kuwa wamekuja kucheza hapa Tz ili watangaze aina hii ya mpira kwa watanzania na Afrika kwa ujumla, pamoja na kukuza utalii. Kitendo cha wachezaji kurushiana masumbwi uwanjani kinaonesha...
Ni lini ajali hizi zitaisha? Utatuzi wake ni nini? Naona kimekuwa kitendawili kilichokosa majibu. MUNGU azilaze roho za marehemu mahali pema. Walojeruhiwa awajalie kupona haraka
Wana JF naomba tusaidiane mawazo hapa:
Huu ni msimu wa sikukuu ambapo wengi wanapenda kutoa zawadi za aina mbalimbali kwa wenza wao. Tukiweka roho za uchoyo pembeni, kila mmoja atajitoa kwa mwenzake kulingana na uwezo wake. Ninachojiuliza mimi ni kama kuna kiwango cha pesa kinachofaa kwa mtu...
Kwa kuangalia namna ambavyo kesi zao zimeibuka wanafanana. Ya Muro iliibuka baada ya kuanza kufichua maovu katika Tz, na ya Assange imeibuka baada ya kufichua siri nyingi za kidiplomasia serikali ya Marekani. Yawezekana kweli watu hawa wana makosa (hapo ni jukumu la mahakama kuamua), lakini...
Mimi naamini TBC ni chombo cha habari chenye wafanyakazi wenye weledi katika kazi zao. Matarajio yangu ni kuwa watawatumikia watanzania kwa uadilifu na kutekeleza kaulimbiu yao ya 'Ukweli na Uwazi'. Sasa wanapokuwa wanatumikia maslahi ya serikali pekee ni usaliti kwa watanzania. Please Tido...
Hebu kwanza pata maji baridi utulize mzuka, halafu tueleze taratibu mwenzetu yamekukuta yepi? Maana hawa jamaa hawachelewi kukumwagia ile mimaji yao inayowasha... Karibu jukwaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.