Recent content by Humbleness

  1. H

    TANESCO BIG UP!

    Wamenifanya nisome comments hapa na majibu yao. Safi sana TANESCO
  2. H

    Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Wana wapo kwenye mchakato wa kuingia kwenye soko la hisa
  3. H

    Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

    So bora Kule ndani kuliko nje mkuu?
  4. H

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Kwa Sisi tuliohitimu 2016 hata attempt ya CPA hatujafanya, bila shaka ni Mike mnene
  5. H

    The Tanzania paradox: A nation at a crossroads

    Mkuu hapo unaposema vyuma vitakazwa sana...(ikiwa ni kwa mazuri ya taifa), wale inaosemekana kuwa wamevamia kule kwa mabaka mabaka na hata wale wale kuitwa wahuni chamani ambao wapo kulinda maslahi yao si wakiamua jambo (kumtoa) watamtoa na kuweka mtu wao? Wanaofanya transition...
  6. H

    Kesi ya Samia ICC imefikia wapi?

    Ooh kumbe, naanza kupata mwanga sasa
  7. H

    PostGE2025 Hata mkiua mashahidi kama Kenyatta na Rutto walivyofanya mwaka 2014, hamuwezi kupona mwaka 2026

    Hadi kufika tarehe 29 Oktoba 2026, saa mbili asubuhi Maafisa Usalama, Makada wa CCM, Polisi na Wanajeshi walikuwa wakiamini kwamba watanganyika hawawezi kufanya lolote lile nchini, ila ndani ya masaa mawili nchi iliingia kwenye umwagikaji damu mkubwa kuwahi kutokea kwenye historia. 🙌
  8. H

    Dark days 17/03/20

    Aisee RESILIENT KATO
  9. H

    Changamoto ya kutodumu na wafanyakazi inatishia kunifilisi

    Vipi ukimpa Mkataba akakaa, baada ya muda fulani tuseme mwaka... Akaamua kuondoka tuseme bila kukuaga? Unambanaje hapo? Huo Mkataba wa kumbana unamlazimisha yeye kuweka kitu/kipengele kinachombana asiondoka bila taarifa?
  10. H

    Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Reforms zitafanyika, uchaguzi utakuwepo. Uchaguzi utasogezwa mbele au utafanyika October kama kawaida?
Back
Top Bottom