Recent content by HIKARI

  1. H

    PostGE2025 Ezekiel Kamwaga: Heche anapotosha kuhusu maridhiano

    Nasikia harufu ya uharo hapa.
  2. H

    Dkt. Mwigulu kuzungumza na Wananchi katika Mkutano wa hadhara Ifakara na Mlimba

    Atumie wasaa huo kutujuza yule mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na ma omu alifikishwa mahakama ipi?
  3. H

    Ni zamu ya IGP kutoka Zanzibar ni zamu ya CP Awadhi kutumikia watanzania

    Mbona kiranja wetu ana elimu zake mbalimbali za kuunga unga lakini darasa letu linasonga?
  4. H

    Kwani 340M za Baraza Kuu zilienda wapi?😄😄😄

    Chadema hakina mafisadi wa kukichangia mamilioni kama ccm walivochangiwa, hivyo sisi wapinda haki tutaendelea kuchanga tonetone
  5. H

    Nani atakalia kiti cha mwenyekiti wa CHADEMA?

    hivi magufuli alipokufa nani alikalia kiti cha ccm?
  6. H

    Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Kwanini wewe usifungue huo uzi wa ramborambi? Alichofanya mleta mada ni sahihi. Maoni ya jamii ni muhimu pia yajulikane
  7. H

    Pitia Uone: Iruhusiwe au Ikatazwe - Ona Mwenyewe

    Kwa mabishano unayofanya na taahira, tutadhindwa kuona tofauti kati yenu.
  8. H

    Maafisa wa ICC wapo nchini

    Unajilisha upepo. Kesi ya Tanzania ni tofauti na kenya. Kenya vikundi viwili tofauti vilivyokuwa na mirengo tofauti ya kisiasa vilishambuliana na kuuwana kwa kuchochewa na wanasiasa- you are right. Hapa kwetu raia waliandamana- ingawa pia vibaka wali-take advantage, serikali au mamlaka zilizo...
  9. H

    Shillingi 464,100,000,000 inatosha kuwalipa fidia wakazi wote wa Sinza?

    Hivi bilioni 464,100,000,000 ni sawa na trillion ngapi? Just curious jibu: 1,000,000,000*464,100,000,000 =464,1000,000,000,000,000,000 =trillion 464,1000,000.
  10. H

    Kwa hiyo ndo kusema huu nao ni upepo tu?

    Acha uchawa wa ki...
Back
Top Bottom