Ndugu zangu nimeshuhudi ndani ya wiki moja dola ya Marekani inakimbia kweli kweli. Sasa sijajua ni kwasababu gani hasa.
1. Je ni demanding imekuwa kubwa.
2. Je Sarafu yetu imekuwa dhaifu.
Ndiyo maana Katiba Mpya ni Muhimu kuliko unavyofikiria.
Kumbe Rais ana mamlaka ya kuamua ni chama kipi kifutwe na kipi kiendelee?? Nani aishi nani afe?? Nani afungwe nani machine huru??
Fahamu kitu kimoja, unapofunga mlango huu milango mingine hufunguka pia.
Mimi kwa mawazo yangu naweza sema kuwa, huenda ikawa kuna mtu/watu wanaomuongoza. Leo nenda kawaambie hivi na kesho vile. Yaani kwa kifupi yeye ni spika redio iko pembeni.
Ndugu yangu Kiranga mimi na wewe ni wamoja. Fuatilia misimamo yangu. Na ndiyo maana nikachagua comment yako.
Suala la ukaguzi wa uchimbaji wa maji ni muhimu mno kwa afya. But who care? Serikali ndiyo wenye jukumu hilo. Je wanatimiza wajibu wao? Mwananchi anachimba kisima chake cha futi 6-10...
Kuna utaratibu wa kuyachimba maji. Siyo kujichimbia tu. Lkn kwa sababu ya hali ya uchumi wetu basi hakuna usimamizi wa kutosha kwenye hilo.
Unapotaka kuchimba kisima chako ni lazima uwasiliane na mamlaka husika (Maji Mkoa/Maji Wilaya) ili waje wakague eneo hilo kama ni salama kwa kazi hiyo...
Wanaharakati wote kwa Umoja wao wanaipambania Tanzania itakayokuwa bora kwa wote. Vivyo hivyo kwa Wapinzani. Ninyi wa Chama tawala mnapambania kina naini hasa kiasi cha kuwaona hao wengine kuwa maadui na hata hawastahili kuishi??
Kwa hiyo Mange ndiye kawachochea Kamati Kuu ya CCM kumfukuza EN?? Hao hao uliowataja ndio waliokaa kikao na habari kumfikia Mange kupitia miongoni mwao.
Muda ni mwalimu mzuri wa kuamua ugomvi.
Ikiwa Mihimili yote mitatu imekuwa ya michongo na kupoteza imani kwa Wananchi unategemea nini. Taarifa zikitoka pembeni kwanini zisiaminiwe?
Kumbuka kwamba Dada yetu yule yeye ni Spika tu, Radio tunae humu humu nchini. Tena kwenye maeneo nyeti. Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.