Bongo haina shida ni nchi nzuri sana hata kama huna hela mimi napenda sana
maisha ya uswahilini hasa dar, nimeishi sana Mbagala kwa dumba, Buguruni,sinza,mwenge Mlalakuwa, changanyikeni udsm,tabata shule,Mwananyamala kwa kopa,kunduchi skanska,tegeta yaani very good life
tatizo kubwa la bongo...