Recent content by Fabolous

  1. Fabolous

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    US hawawezi kutishiwa nyau eti mkimtaka mtu na sisi hatuwapi. US wakimtaka mtu yeyote humu Tanzania wanakuja kumnyakua hata bila kufata utaratibu. Hata akiwa analindwa na wapasua matofali
  2. Fabolous

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Original version ndio hiyo ya Madeleka. Zile zingine zilivujia kwa kina Prince dully Sykess
  3. Fabolous

    Uteuzi: Baba Mtakatifu amemteua Padre Joseph Mashaka Triphon kuwa Askofu wa Jimbo jipya la Nzega

    Taasisi, siyo yeye peke yake anayefanya kazi.
  4. Fabolous

    Utamkumbuka Samia kwa yapi?

    Kwa mauaji ya halaiki, utekaji na ufisadi mkubwa ambao haujawahi kutokea Afrika mashariki na kati.
  5. Fabolous

    Utamkumbuka Samia kwa yapi?

    Kwa mauaji ya halaiki, utekaji na ufisadi mkubwa ambao haujawahi kutokea Afrika mashariki na kati.
  6. Fabolous

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Huyu Ummy alisisitiza sana Lissu asipelekwe Nairobi, apelekwe Muhimbili (ili wakamalizie)
  7. Fabolous

    Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Bila shaka wewe ni chawa wa siasa za udalali Mlisgindwa uchaguzi licha ya kumwagiwa hela na Abdul.
  8. Fabolous

    Mrisho Gambo: Nawatia Moyo watetezi wa haki historia itawakumbuka

    Mrisho Gambo tangu afiwe na mama yake, ,pia kua nje ya mfumo ameanza kukua.
  9. Fabolous

    Maumivu makali sana sitakuja kupuuza dokezo! Tunakuja kivingine, Lissu ni mshindi

    Majaji watakua Wazanzibari, watu wa Jezebeli kindakikindaki.
  10. Fabolous

    Pole sana mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu

    Nelson Mandela ,Julius Nyerere, Kwame Nkurumah na Samora kama wangekua na akili kama zako tusingepata ukombozi.
Back
Top Bottom