Recent content by Exy

  1. Exy

    Utabiri game ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

    Kimsingi hiyo mechi simba ana asilimia 35 za kushinda!!. Amejitahidi sana ni draw. Amekoswa na Namungi, amekoswa na JKT sasa manyambizi Wanabonda na kunyonga 😅😅🤣
  2. Exy

    Makonda kama waziri wa michezo unawajibu wa kuhakikisha club ya Simba inafanya uchaguzi wao kwa uhuru pasipo kuingiliwa na mamlaka fulani

    Makonda hana mamlaka ya kuingilia uchaguzi huo, yeye aendelee kutembeza akina Fally pupa!.
  3. Exy

    Haya ndio makabila matatu yanayoongoza kwa kiburi na dharau

    Ndio ukutane na WAHAYA wa Buziba!, wale WAZIBA hahaha kama huwajui utajuta!.
  4. Exy

    Haya ndio makabila matatu yanayoongoza kwa kiburi na dharau

    WAHAYA DHARAU NI ASILI!!., HAYA MAKABILA MENGI kwa asilimia kubwa mtu mmoja mmoja tu!. NSHOMILE , NASHOMA NEMBWA YANGE YASHOMA!.
  5. Exy

    09/12 siku mlango utakavyolia

    Sawasawa...!!.
  6. Exy

    Mkoa wa Mara kuna ma-super man? au kuna uhuni unafanyika?

    Hao ni wazee wa ndio.... Wapo TIALI kufa wakilamba nyayo za boss !.
  7. Exy

    09/12 siku mlango utakavyolia

    😅 Ana app yakuzui la kukopi Wala kuscreeen shoot.
  8. Exy

    09/12 siku mlango utakavyolia

    Mkuu mm nipo hapa nyakakarango ...... Unaweza sogea tukanywa hiyo Rubisi wote tufungue code ambayo kimsimgi inamlenga TL kuachiwa huru.
  9. Exy

    Katibu wa Chadema Mkoa wa Iringa asimamishwa Uongozi kwa kushobokea Maridhiano ya kinafiki na CCM

    Wewe katiwe madole huko....achana na mm bata wahed!.
  10. Exy

    Katibu wa Chadema Mkoa wa Iringa asimamishwa Uongozi kwa kushobokea Maridhiano ya kinafiki na CCM

    Mada ni adhabu dhidi ya kiongozi ambaye amefanya kosa sawa na alilofanya LEMA!!. LEMA HAKUSTAHILI HIYO ADHABU?.
  11. Exy

    Katibu wa Chadema Mkoa wa Iringa asimamishwa Uongozi kwa kushobokea Maridhiano ya kinafiki na CCM

    Sababu za maana unataka ziwe zipi ili hali umeambiwa ameenda kinyume na AZIMIO LA BARAZA KUU!.
  12. Exy

    Katibu wa Chadema Mkoa wa Iringa asimamishwa Uongozi kwa kushobokea Maridhiano ya kinafiki na CCM

    Hivi Lema alipotamka suala la maridhiano alichukuliwa hatua gani?. Au yeye hakufanya kosa?.
  13. Exy

    Swali chokozi siasa za afrika: Je upinzani hawawezi kupandikiza mwanachama wao kamati kuu au ofisi nyeti chama tawala?

    Haya yote hufanywa na system za Nchi ambazo hazifumgamani na vyama vya siasa!!, hii kazi ilikuwa ya usalama wa Taifa... Bahati mbaya usalama wa Taifa ndio kabisa ni ccm wajinga!!, usalama wa Taifa ndio wanajukum la kuhormonize hali ya Nchi, huko MAREKANI unafikiri Democratic na Republic...
  14. Exy

    Kwa nini Makonda asingepelekwa Wizara ya Uvuvi? Na Mwana FA angepandishwa kuwa Waziri wa Wizara ya Michezo?

    Yote ni takataka tu!!, Rais baada ya kupunguza balaza la mawaziri analipanua ili apate mirija ya kuiba kupitia hizo wizara!!.
Back
Top Bottom