Omba hizo ajira. Mshahara ukiingia na degree (Sio za afya) ni 800,000+ na vichenchi vyake. Utakatwa, PAYE, PSSSF, URA SACCOS, HESLB kama una mkopo
Utapata posho zingine kama usafiri 15%, Pango 15% ukiamua kukaa nje ya kambi na posho zingine kadri itakavyokuwa.
Kila tarehe 15 ya kila mwezi...
Kama huwezi kuwa na mwanamke mmoja sasa hivi, basi huwezi kuwa na mwanamke mmoja hata ukioa.
Uaminifu na heshima, hivi vitu havijengwi na ndoa. Anza kujenga tabia ya kuacha kutembea na wanawake wengi sasa hivi.
Tabia halisi ni ile uliyonayo ukiwa pekee yako na sio ile unayoonyesha ukiwa na...
Ni Tanzania tu, Nissan juke wanasema ni ya wanawake ila Nissan wenyewe hakuna sehemu waliwai kusema Juke ji gari ya wanawake.
Ni Tanzania tu, mwanaume kukaanga chips, kukanda ngano wanaona ni ajabu ili hali mahotel mengi tena makubwa wapishi wanaume wapo. Ila cha ajabu anayesema hivyo, hana...
Liverpool: Sare 9, Kapoteza 9. Mechi 18 bila ushindi.
Mau U : Sare 11, Vipigo 6. Jumla mechi 17 bila ushindi.
Na wapo top 3
Umenikata vibes ulivyobisha, nikajua tunaenda hoja kwa hoja
Sasa kupewa kadi ni sehemu ya mchezo na haina excuse. Kama wangeweza, wasingepewa kadi.
Hiyo mechi ya 6-0 Mess aliingia dakika ya 83 na tayari goli zilikuwa 6.
EPL 2020/21, Liverpool hakushinda game 18 na alikuwa nafasi ya 3. Manchester United hakushinda mechi 17 na alikuwa nafasi ya 2.
Tupe na ile Al Nassr anakula chuma 4 kutoka kwa Estrela Amadora. Tena mwaka huu achana hizo 2024.
Tupe na ile Al Nassr anakula chuma 4 na kitu daraja la pili, juzi japo mwaka huu. Achana na 2024
RB Leipzig kala chuma za kutosha kutoka kwa FK Mladá Boleslav. Hiyo haina maana Czech 1rst League...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.