Recent content by Enthusiastic

  1. Enthusiastic

    KERO Huduma ya NMB mkononi haipatikani

    Wajinga hawa wamesababisha nishindwe kufanya deal
  2. Enthusiastic

    Kikubwa tarehe 27 umeme utakuepo!!!

    Bora nyie TANESCO sio kama NMB
  3. Enthusiastic

    Kwaheri NMB

    Hivi mabiresho ya mfumo si wawe wanafanyaga usiku?
  4. Enthusiastic

    KERO Mawakala wa NMB na CRDB Mpanda, ukienda kulipia Control Number wanakwambia ongeza cha juu

    Sio kweli. Malipo ya serikali kwa NMB hakuna makato. Unachohitaji ni app ya NMB mkononi
  5. Enthusiastic

    Tanzania: Mahakama yapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni

    Maandiko yanasema mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye. Mtoto ambaye ameshidikana kwa wazazi wake unahangaika naye wa nini?
  6. Enthusiastic

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini TANESCO mnaihujumu serikali kwa kukatakata umeme tena mida kama hii tuko jikoni tunapika. Radiant cookers na induction cookers zinahitaji umeme na mnapokatakata umeme mnatuharibia majiko yetu. TANESCO kuweni serious, karne ya 21 bado umeme...
  7. Enthusiastic

    Kama hutaki kuwa Atheist au imani yako iyumbe usiisome Biblia kwa undani

    Huwezi piga hela nyingi wala kujaza watua kama huna liroho la uaguzi. Wanaojiita manabii walio wengi wanaagua (wanafanya divination) na siku ukijaa kwenye mfumo wao kama huna maarifa utapigwa
  8. Enthusiastic

    Vodacom mtandao wenu unasumbua tangu jana, kuweni serious!!

    Tangu jana napata shida ya mtandao, si normal call si internet, kote mtandao unasuasua. Vodacom nitawahama soon, wapuuzi nyie
  9. Enthusiastic

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Soma historia namaanisha secular history, usisumbue watu kwa uvivu wako wa kusoma
  10. Enthusiastic

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Secular historians agree that Jesus was crucified but Muslims wanaamini Yesu hakusulubiwa according to their prophet who lived 5 centuries baada ya Yesu kuondoka 😂😂😂
  11. Enthusiastic

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA

    Kwa issue ya Dr. Conrad busara ya kusameheana itumike kumaliza jambo hili.
  12. Enthusiastic

    KERO Mke wangu amepata changamoto ya Afya ya Akili, tumekosa uhamisho Serikalini ili tuwe karibu

    Aonane na mwenye mbwa na sio mbwa. Namaanisha aonane na Mkurugenzi wa HR au msaidizi wake au KM au NKM ni watu wema sana na wasikivu sana. Kuhusu kutenga bajeti sishauri, atatapeliwa! Zingatia mwenye mbwa na sio mbwa. Shinda ya mbwa hazina ustaarabu, zinaweza kukung'ata. Ningekua na mamlaka...
  13. Enthusiastic

    Kenani Kihongosi: Siungi mkono mamlaka ya Rais kupunguzwa

    Akitaka ufe leo unakufa, au unabishi? Akiagiza uuawe unauawa! Akiagiza hakuna kumtangaza mpinzani hata kama ameshinda uchaguzi na hatangazwi!!! Akiagiza tujifikize kwa mitishamba halafu wataalamu wakikosoa wanaadhibiwa!!! Ambaye hakosolewi si mungu huyo?? Mifano hai ipo mingi labda ujitoage ufahamu
Back
Top Bottom