Hii kumaanisha bwana Lazaro Twange ni mfanisi mzuri katika kuhakikisha huduma zinatolewa kwa wakati. Lakini ndani yao hao watoa huduma ni wafanyakazi wa mkataba wa muda(Temporary Employee) tena wapo miaka 4+ kazini hapa sasa ni wakati wa kuwapigania kwa wenye mamlaka wapate ajira za Kudumu...
Uislam unakuumiza akili ikiwa dini yako mafundisho ujayafahamu vizuri ili upate tafakari kwa hilo fuvu katika kubainisha ukweli.
Ni sehemu gani alisema huyo rubani amefanya hayo kwa maslahi ya uislam na si matamanio yake?, punguza mihemko.
Kuna mtu alisogezwa karibu katika matukio ya hivi karibuni bila sababu licha ya kutemwa kwenye mikeka ya PM uenda ndiye atakula hilo shavu maana anaweza tumika vyovyote vile.
Huyo Dr sijui nanii aache uzwazwa na kutafuta fahamika zaidi kwa mgongo wa Tz, atunishiane misuli na ANC na kama ni mtetezi ayaoni manyanyaso ya nchi yake kwa wageni(Waafrica) hadi kupeleke vifo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.