CHAI YA ASUBUHI.
JE, UNAIJUA DIWANI YA AMANI?
Na Mkuluwanyika.
Laiti kama Diwani ya Amani ingeandikwa kwa maandishi ya nathari, ingehitajika vitabu zaidi ya mia mbili ili kutosha kubeba maudhui yaliyomo, lakini jambo linalotofautisha ushairi na aina nyingine za maandishi ni kwamba ushairi...
Kwanza ungesoma kitabu Kisha ndio ulete hoja hiyo.
Ndani ya kitabu haki imezungumziwa kwa upana wake na Viongozi wa kisisasa wamekosolewa kwa upana wake.
Ni ajabu mtu mwenye akili timamh kuchukia neno amani linapotajwa.
Katika makala iliyopita tuliangazia majina makubwa ya washairi kutoka Kenya ambao wameshiriki katika Diwani ya Amani, tukatazama na mashairi mawili ya washairi nguli kutoka nchini Tanzania mashairi ambayo kwa hakika ni kielelezo tosha cha ubora na ukubwa wa Diwani ya Amani.
Kabla ya kuendelea...
Miongoni mwa vitu ambavyo unapaswa kufahamu kuhusu Diwani ya Amani ni kwamba hiki ndio kitabu pekee kilichochanganya aina zote za washairi wa zama hii waliohai.
Humu ndani kuna wale washairi wakongwe wa A-list kutoka nchini Kenya kama Mzee Thomas Koskei, Mzee Mohamed Khamis wa Takaungu, Mzee...
TAFAKURI YA MWENESESEME.
MZEE MOHAMED SAID NI SITA RAM GOEL AU R. C. MAJUMDAR WA TANGANYIKA?
Sehemu ya 2.
Na Mkuluwanyika.
Katika Sehemu ya Kwanza ya makala yetu, tulimtaja Mzee Mohamed Said kuwa ni miongoni mwa waandishi wanaohoji usahihi wa simulizi zilizozoeleka za uhuru wa mataifa yao...
Na Mkuluwanyika.
Hivi umewahi kumsikia Mshume Kiyate, Kleist Abdallah Sykes, Bilali Waikela, Iddi Tulio, Mzee Suleiman Taqadir, Tewa Said Tewa, Mzee Ali Said Mpima au Mzee Zibe Kidasi?
Bila shaka kama wewe ni kijana wa kizazi kipya (Gen Z) au umeisoma historia ya Tanganyika kupitia vitabu vya...
Wakati wa uchaguzi wa wenyeviti wa Serikali za mitaa akitunga shairi hili lifuatalo na Sasa anasema hajaona kizuizi.
HODARI KAENGULIWA
Nalipanga kudamka,siku itapowadia
Foleni kuziepuka,kwani huleta udhia
Kura npige haraka,bila kuzua ghasia
Hodari kaenguliwa,kura yangu ni hapana
Hamasa...
Hili ni Shairi la Mshairi Bora Wa Taifa Mwaka 2025 na mshindi wa Kwanza Wa Tuzo Ya Taifa Ya Uandishi Bunifu Bwana Daruweshi Mkulu Wanyika anasema hajaona kizuizi kushiriki uchaguzi .
Je ni kweli hakuna kizuizi?
SIJAONA KIZUIZI
N'nazitambua haki, na mazuri maamuzi
Kuchaguliwa sitaki, waso bora...
Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi bunifu(TuzoNyerere) 2025 nyanja ya Ushairi Sheikh Hussein Kondo Abdallah Almaarufu Daruweshi Mkulu Wanyika atangaza neema kwa watunzi.
Ameweka chapisho lifuatalo katika ukurasa wake wa Facebook;
TANGAZO LA CHALENJI KUBWA YA WATUNZI.
Nichukue...
Kanuni ya maisha matendo huzingatiwa kuliko maneno ,mfano hai mkataza watu ulevi akiwa ni mlevi hakuna atakaye msikiliza wala kumuelewa.
Kilipofikia chama cha CHADEMA makundi na uhalisia wa mambo ni Mtanzania gani atakayekubali ama kuamini kama kweli CHADEMA ni wanademokrasia na sio wahubiri tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.