Recent content by Course Coordinator1

  1. Course Coordinator1

    Kifo cha binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, hata pole hawajatoa!

    Kuna muda ukienda hospital ni kama unajipeleka kwenye kifo. Itakua muuaji ametoa agizo afe ,aingie kwenye rekodi ya CHANDE.
  2. Course Coordinator1

    Heri ya siku ya Wanaume duniani

    Tanesco Polepole alinunua umeme ninyi mkazima wamteke gizani.
  3. Course Coordinator1

    Si adabu kumrekodi picha za utupu mwanamke mtu mzima vile (heshima ipo wapi?)

    Zuia mabibi zenu wa CCM kuchukuliwa na viserengeti Huyu ndo mwanzilishi wa vibeteni
  4. Course Coordinator1

    Ni utetezi gani hutolewa mtume kuoa mtoto ?

    Biblia haijataja umri wa Mariam kuchumbiwa na Yusuf au wakati anamza Yesu ila inasema alikua bikira means alikua na umri sahihi wa kuzaa, wanazuoni tu wanaleta stori kuw Wayahudi walikua wanachumbiana wakiwa na umri wa miaka 13 na 14.
  5. Course Coordinator1

    PostGE2025 TANZIA Angel aliyepigwa risasi 29 Oktoba, 2025 afariki dunia akipatiwa matibabu Muhimbili

    Naomba wasife leo smoothly nataka nikiwaona wakifa kwa mateso sana Yaani wapate magonjwa ya wale wafalme wa zamani, waugue kiharusi,waugue visukari, mapresha ila wafe wakiteseka tukiwa tunawaona na kuwasikia.
  6. Course Coordinator1

    Wakuu hii ya bibi iwapite hili kuepusha laana kwa taifa.

    Ni kweli kaka , ngoja tuhamie kwa harusi
  7. Course Coordinator1

    Rais Samia Suluhu Hassan kufanya Ziara ya Siku 3 jijini Arusha

    Ziara Haendi hata kuzungumza na wananchi anaongea na maafisa ziara gani Aje viwanjani arushiwe mawe.
  8. Course Coordinator1

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Inaweza tokea Rais akawa jasusi wa nchi nyingine Kuhusu kuuza kobazi nchi ya hilo wanasema sema watu wa vyombo basi watu wanahisi ameuza viatu kumbe wanyama pori na pembe za ndovu kupitia mwanae Abdul
  9. Course Coordinator1

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Una telegram ?
  10. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Huku Tz bara hata bata hawampendi huyu mama
  11. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Tumefika mahali pabaya kama Taifa Yeye mwenyewe yupo controlled na wajanja flani. Kwanza wanamuona bila wao asingefika hapo alipo hao ndo wabaya kwetu. System ya namna hiyo haifai katika Taifa lolote, wee kaa tu sisi tuendeshe nchi. Ndoo maana wameweka mtu dhaifu
  12. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Yaani sana Mimi muda mwingine nasema sio yeye ila wale wanofaidika naye kwa uwepo wake yeye. Maana wale jamaa wanajua tukimweka Rais chuma mambo yetu yatazibwa kabisa, ngoja awepo huyu dhaifu tuendelee kujipigia.
  13. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Alichokosea ni kutuunganisha na wanzibari hata kama sio leo kuna mtawala atakuja tujitoe kwenye huu muungano ambao ulimfaidisha Nyerere tu.
Back
Top Bottom