Hichilema sijui amekuwaje these days
Viongozi wa Upinzani Africa mara nyingi wakifanikiwa kuingia Ikulu, wanakuwa washenzi kuliko hata wale waliowatoa.
Hichilema na Chakwera ni mifano michache..
britanicca taarifa zako unatoa wapi? Ulipigwa fix kwenye ile issue ya hukumu ya Lissu…
Kama vyombo vilishindwa/viliogopa/vilizidiwa power na wajanja kutoka nje ya Tanganyika na kushindwa kukamata uongozi kwenye ile madness ya baada ya uchaguzi, hawana ujanja tena
Saa hii Bi kiziwi keshakuwa...
Ulikuwa hujui? Ndipo mlipofikishwa
Nani alimtoa Nchimbi? Na waTZ mpo tu happy, as if hakuna kilichotokea
Kila tukio linapopita unchallenged, bi Kiziwi anazidi kupata confidence kwa ujuha wetu na ile fear inaondoka
Anaweza kuengineer abaki mpaka 2035 na nothing will happen
Rais wa kwenye mawe na huyu wa Mchongo wote hawafai kupewa kiti cha Urais. Na hawatapewa
Kuanza kudhani na kuwaza kwamba Nchi inaweza kupewa hao wawili ni kuonyesha kwa kiasi gani ile nafasi ya juu kabisa ilivyoshushwa hadhi
Tumeichezea sana ile nafasi na kuharibu taswira yake
Ifike mahali Katiba itamke wazi kwamba “itakuwa marufuku kwa raia kutoka Zanzibar kushika kiti cha Urais wa JMT”
Kwanini? Simply because sisi haturuhusiwi hiyo nafasi kule kwao. Mbaya zaidi, hata uDC tu wa kupeana kama zawadi, hawatupi
What’s good for the goose is good for the gander.
You...
Bahati nzuri (na mbaya kwao) versions zote 2 watu walishazidownload na wanatamba nazo
Ndunguru ni mtu mmoja wa hovyo sana. Hivi mtu umeshafika level ya Ujaji bado tu unaogopa na unapokea maelekexo ya kukuharibia heshima kwenye taaluma yako?
Duniani kuna mifano ya dissenting judgment (hukumu ya kimawazo tofauti) ambapo Jaji mmoja au Majaji wawili au zaidi hawalazimiki kukubaliana na wengi na wanakuwa na haki ya kutoa sababu zao za kisheria, hata kama uamuzi wa wengi ndio uliokuwa uamuzi rasmi wa Mahakama.
Mfano ni kesi ya kupinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.