Recent content by Chokoza fikra

  1. Chokoza fikra

    Majini & Mapepo 👻🤔

    unapojaribu kuelezea maadili kwa kuchomeka neno "shetani" utaishiwa maelezo hatua mbili tu. mfano; wewe mwenyewe unajua kuna vitu huwezi shawishika kufanya hata aje "shetani" wa rangi gani. lakini pia anajua kuna wanaofanya hivyo. je unaweza kutuambia huyo shetani aliwashawishije hao ?
  2. Chokoza fikra

    Majini & Mapepo 👻🤔

    sasa inakuwaje shetani akushawishi wewe hili na yule lile? Kumaanisha kwanini waovu wote hawakamatiki katika ovu moja au kwa kiwango kilekile?
  3. Chokoza fikra

    Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    °°Ni sahihi kula chakula hotelini/mgahawani siku ya sabato? °° Ni sawa kupanda bodaboda ukienda kwenye kusanyiko la sabato? °°Ni sahihi kuposti siku ya sabato?
  4. Chokoza fikra

    There is no secret societies, There's no dark forces controlling your life. There is no Satan sitting somewhere controlling your life!

    Not every vulgar word intends insult.some can be used pragmatically / as figures of speech
  5. Chokoza fikra

    There is no secret societies, There's no dark forces controlling your life. There is no Satan sitting somewhere controlling your life!

    N Now,give us a f***ing inference, a pattern, something you associate with satanic influence
  6. Chokoza fikra

    Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

    Wengi wanaoshadadia amedharau Hawajui hata amedharauje. Mara kagomea wito kamati ya maadili,huku hawajui aliitiwa Nini!
  7. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    We taja sifa za mungu unayemwamini,tukupe hoja kwanini huyo mungu hawezi kuwepo
  8. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Labda shetani mmekutana akakwambia hivyo!
  9. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Shahidi kadhaa zikirandana ndo hudhibitisha kweli. Ushahidi wa pili ukiupinga ule wa kwanza basi ulikuwa unadhani,si kujua
  10. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Baade unitofautishie kujua na kudhani
  11. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Dai la kwanza kupokelewa ni ujuzi? Sasa ukianza kwa kujua vipi ushahidi unaofata usipothibitisha ulichodhani ni ujuzi rasmi tiyari? Kama ujuzi ndo unaanza, mtu anajuaje kwamba hajui
  12. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Ubongo unachakata taarifa(ushahidi)na kuunda hitimisho(kujua). Sasa nashangaa wewe unasema inaanza ujuzi alafu ndo tunaikusanyia ushahidi!
  13. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Mkuu ,hapo ubongo unajua kwa njia Gani Mwanzo kabla ya ushahidi?
  14. Chokoza fikra

    Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Nichimbe wapi, nielekeze Au hoja zimeisha ukaamua unituhumu sijachimba?
Back
Top Bottom