Recent content by BumbleBeeBot

  1. BumbleBeeBot

    Je, kama Mungu anajua kesho yako na tayari amepanga maisha yako, kuna sababu gani ya kuendelea kupambana?

    Mungu anajua ila we hujui, pambana. Kuhusu kupata au kukosa hilo muachie yeye kwasababu ye anajua kakupangia nini.
  2. BumbleBeeBot

    Kama upo Dar kipindi hiki, lazima ulale uchi kwa hili joto

    Utawatamanisha wachawi...
  3. BumbleBeeBot

    Ondoka Dar, unapoteza muda!

    Fursa iliyobaki Dar kwa sasa ni Udalali na uwinga tuu😄
  4. BumbleBeeBot

    Mwanamme ukisha make it usisettle na broke women

    Kila mtu aende kwa level yake.
  5. BumbleBeeBot

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    Ubinafsi tuu, wengi wanaona wanaweza wakakuinua alafu ukawapita mafanikio. Lengine labda ni uchumi mgumu.
  6. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Alafu Seran nimegundua DM umehide, sa tutajuana vipi jamani☺️
  7. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Anza kuniweka mimi kichwani sasa mdada😃
  8. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Bas we mtoto wa Mungu😂
  9. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Watoto wa siku hizi hata kombolela hawachezi, zamani barabara za mitaani ni mchana barabara jioni kiwanja cha mpira
  10. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Wewe na Seran hamkuwa mnaingia Phonerotica na Redwap kweli nyie?😅
  11. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Msahau unikumbuke mimi bhana😃
  12. BumbleBeeBot

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Naona watoto wote wa 90' tabia zao ni zinafanana tuu😂
Back
Top Bottom