Mada yako ni nzur sana,pengine upo sahihi kwa hili,lakin kumbuka hakuna mtu anaelazimishwa kuwa na mke mmoja,na kama ni mkristo aliapa mwenyewe mbele za Mungu na wanadamu bila kulazimisha,sijui inaelewa kiapo?
Siku zote ukweli unamuweka mtu huru,kuliko kuendelea kuficha ni afadhali ukaweka wazi jambo Hilo kwa wazazi,nao ni binadamu watatoa maamuzi Yao,utadanganya Hadi lini ndugu?
Kweli kabisa mkuu,padre anaruhusiwa pia kuacha upadre aende kuoa tena ndoa ya kanisani Wala Haina shida kabisa,iwapo atashindwa kutunza nadhiri alizoweka,na hii habar ya kuchit watu wanachit tu hata waliokwenye ndoa
Aisee umenikumbusha,hii tuliitumia tukiwa wadogo,ukiumwa sungusungu inakubidi kulitazama jua kwa mda,maumivu yanapotea,Sasa naelewa kumbe ilikuwa meditation,Asante kwa Elimu nzur mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.