Recent content by BR Stationary

  1. BR Stationary

    Maisha hayaitaji uwe mkamilifu

    “Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥
  2. BR Stationary

    Kwenye Maisha usitegemee Kila mtu akuelewe

    "Kwenye maisha usitegemee kila mtu akuelewe, wala usilazimishe kupendwa na kila mtu. Jifunze kusimama mwenyewe, kutabasamu hata unapopitia magumu, na kuendelea na safari yako bila kueleza kila kitu unachopitia. Mwisho wa siku, maisha ni yako na hakuna atakayeyaishi kwa niaba yako." 🖤🥀
  3. BR Stationary

    Usijilinganishe na mtu mwingine

    Apana ndugu mapito ni tofauti
  4. BR Stationary

    Ajira za polisi zinatoka lini mbona kama mwaka huu hakuna?

    Ajira za polisi zinamsubili mdogo wangu amalize form Four😁
  5. BR Stationary

    Usijilinganishe na mtu mwingine

    Maisha ni safari, si mashindano. Usijilinganishe na mtu mwingine, kila mmoja ana muda wake wa kufanikiwa. Kuna siku utacheka, kuna siku utalia, lakini usikate tamaa. Jifunze kuvumilia, kufanya kazi kwa bidii na kumwachia Mungu nafasi yake. Kumbuka, kuchelewa kufika si kushindwa kufika. Leo...
  6. BR Stationary

    Kila mtu anafeli

    KUFELI. Kila mtu anafeli. Mwanafunzi, mfanyabiashara, hata bilionea. Tofauti ni hii: Mtu dhaifu akifeli, anaacha. Mtu hodari akifeli, anajifunza. Mimi nimefeli mara nyingi. Kwenye pesa, kwenye mapenzi, kwenye ndoto. Lakini kila kufeli kumenirudisha mimi mwenyewe. Kumenifanya niwe na hekima...
  7. BR Stationary

    Sikiliza kaka

    MAN TO MAN Umri wa miaka 25–35 na kuendelea unaweza kuwa kipindi kigumu sana katika maisha. Unaanza kuona wazazi wako wakizeeka, marafiki wakipungua, msongo wa mawazo kuhusu kazi na maisha, huku ukipambana na mashaka juu ya uwezo wako mwenyewe. Familia yako inatarajia uwe imara, uvumilie na...
  8. BR Stationary

    Chukua Code kijana

    Mipaka muhimu mzee
  9. BR Stationary

    Chukua Code kijana

    Kwa nini?
Back
Top Bottom