Kwanini ? Akishindwa wakati huu wakati mzee wake bado yupo hai hapati tena, unafikiri kwanini makamba kutupwa machakani? Anaeliwa rada kwasasa ni rais wa mawe yeye ni kikwazo
Wamachame ni makatili sana fikiri tu ni wangapi wamekufa wakati yeye akiwa mwenyekiti na pengine waliuliwa au kutekwa wakifikiri wanampigania kiongozi wao, mfano Soka alikamatwa kwa mara ya kwanza wakati mbowe akiwa mahabusu kwa kesi yake ya ugaidi.
Lisu anamchango mkubwa sana kwa chadema...
Kipindi kile mambo yalikuwa magum sana tofauti na sasa, kwanza taifa lilikuwa na watu imara na wenye nguvu mfano Mkapa, Mengi, Mtikila, Lowasa, yaani kiongozi ukizingua unakosolewa kila upande na kulikuwa hakuna mambo ya kipuuzi kutekana tekana au vyombo vyahabari kupangiwa cha kusema. Leo...
Hao tayari wamehongwa mara nyingi mabeberu hutumia makosa ya viongozi wa nchi kupata mikataba minono huku wakitishiwa wasipo wapatia watawapeleka ICC au kunyimwa misaada flani au kufutiwa visa wasiingie kwenye mataifa yao. Kwajinsi walivyo uawa watu oct 29 unaweza kukuta Tanzania imepoteza...
Wewe ni mkristo pori, maana uislam umeanza mwaka 600 baada ya kristo na kabla ya kristo Isaka na Yakobo nimiaka kama 2000 kabla ya kristo. Huo Uislam unaingiaje kwa Isaaka na Yakobo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.