Mambo Jambo Hi,
Hii ni biashara nzuri sana kuna jamaa yangu aliianza kimzaha mzaha lakini sasa hivi ni miongoni mwa suppliers wakubwa wa Chakula cha mifugo Jijini Mwanza, Na yeye alianza kama wewe alianza na kuuza mahindi, mtama, uwele, mashudu ya pamba, ya alizeti, dona ya mbwa, dagaa, unga wa...