Recent content by BABA AMOUR

  1. BABA AMOUR

    Soon wanasuguana hapo juu

    Muda ni mwalimu mzuri, utatoa majibu wakati ukifika
  2. BABA AMOUR

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Tafuta nyuzi za pascal ameelezea vizuri swali lako,utapata majibu maridhawa kabisa
  3. BABA AMOUR

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Kama chadema hawataki vyama vingine viendelee tatizo liko wapi? Mleta bandiko kwani lazima chadema wawepo?
  4. BABA AMOUR

    Mpangilio wa nyumba yako

    Tumepanga vyumba 2 au 3 kuwa na dining area ni ngumu,labda was ushuani huko,sisi huku tandale kwa mtogole popote tunakaa tunagonga mlo.
  5. BABA AMOUR

    Lissu wa CHADEMA amekaa Miaka 10 Bungeni ameshindwa kujenga nyumba kijijini, tukisema mshahara wa mbunge hautoshi muwe mnaelewa tuache kupotosha umma

    Kwani nyumba lazima ujenge kijijini kwenu? Mbona Mimi kwetu Tanga ila maisha yangu nayafanyia huku mkoa was pwani na hata Nikita nimeshawaambia familia wanizike huku huku shambani kwangu. Sio lazima MTU ajenge kwao.
  6. BABA AMOUR

    Mishahara Tanzania ni midogo mno

    Hautoshi hats kula nyama wiki mbili mfululizo. Nyama kilo sh 14000 Michele kilo 3000 ule el classical Mkaa 2000 Viungo 4000 Jumla 23000 Ukizidisha Mara 14 days hutoboi kwa mishahara ya bongo 23000*14=322000 Bado chai, Kodi za nyumba Nauli ya kazini Hela ya watoto skuli Matibabu Umeme Maji Ushuru...
  7. BABA AMOUR

    Nachukia sana ninapoona maskini anazaa watoto wengi. Ndugu, jamaa na marafiki maskini wanapoongeza watoto wengi, wananikera sana

    Bill Clinton ana mtoto mmoja tu wa kike anaitwa Chelsea Barack Obama ana mabinti wawili tu, George Walker bush motto ana mabinti wawili tu Mama watende wa mburahati kwa madoto ana watoto 15 shughuli no kuuza supu na chapati asubuhi na jioni,wabongo kazi tunayo
  8. BABA AMOUR

    Tetesi: Jaji Ndunguru na wenzake wameondoka jioni hii kwenda mapumzikoni nje ya nchi

    Mwenzio kaweka bandiko,unaponda tens bandiko lake
  9. BABA AMOUR

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Msimu wa joto huu,kama vipi mtafutie bukta tu pana pans awe anashinda NAyo,hata khanga bado inamtesa.
  10. BABA AMOUR

    Wanachuo punguzeni tamaa, baadhi hatupendi hizo mbanga

    Kama no halo ngoja nami nitembelee nikajionee,maana sisi waswahili hua hatuamini vitu kama hivyo mpaka tuone.
  11. BABA AMOUR

    kumbe malaya warembo mno.

    Tbt,Luna mshua alikamatia mmoja,enzi zile kwa macheni akamtuliza ndani mpaka Leo anae na wana 3 babies.Ila sasa some times,jamaa akienda job masela kitaa wanajipigia,sijui yule she sometimes anawashwa! Ila pisi imesimama kinoma natural colour chocolate, utadhani kakaa Brussels miaka 5.
Back
Top Bottom