Recent content by akili mwili mzima

  1. A

    Rais Samia aelekea Ethiopia kuzindua mpango wa afya ya mama na mtoto

    Shika kwamba samuya ni kilaza alifeli form four, sawa chawa??
  2. A

    Kwanini chawa wa CCM wanalihusisha Kanisa Katoliki na Upinzani?

    Swali lilipaswa kuwa, jee ni kwann machawa ya mama (ccm) karibia yoote hayana akili??
  3. A

    KUJIKWAA KISIKI MARA MBILI

    We baki na chauma yako, ya chadema achana nayo hayakuhusu!
  4. A

    Joyce Kiria apata PhD toka Lucent University, UK

    Kama samuya vile hahahahaaa
  5. A

    CHADEMA tupeleke hoja ya Lissu mezani, tuzungumze ufumbuzi upatikane awe huru halafu tuendelee na mchakato wa maridhiano na Katiba mpya

    Hakuna cha maridhiano wala nn, ni kwann samuya anamshikilia lissu ki nguvu?!.
  6. A

    CHADEMA someni alama za nyakati kuepuka kufutwa

    Chadema ya sasa ndio threat ya uhakika kabisa kwa ma ccm, ndio maana hujuma dhidi yake haziishi!!. Jiulize, vyama inadaiwa viko 18 hapa Tz, lakini ccm kila siku inakomaa na chadema pekee...kwann?!?!. Chauma, act, nk nk kwann sio wao?!.
  7. A

    Tumemfuga huyu mzungu anayejiita Bongozozo sasa naona anataka kutupanda kichwani. Tuache kumpa nafasi huyu mzungu siyo mwenzetu

    Mtekeni basi siamewakosoa, angekuwa anaimba mama mama mngesema huyu ni mzalendo, mataqo yenu na ya mnaowalamba miguu!.
  8. A

    Rais Samia: Uchumi wa Nchi uko vizuri na wananchi wana fedha mkononi

    Huyu wa sasa naye tatizo lake pesa ziko kwa kundi fulani dogo la watu wa juu tuu, watu wa kati na wa chini kabisa ambao ndio % kubwa hawana pesa mfukoni...wasaidizi wanamdanganya sana labda kwasabb ya uelewa wake mdogo!.
  9. A

    Selfie ya Rais Samia na wananchi Kilimanjaro

    Mamako mtamu kijana nimemla sana jana uck kucha!
  10. A

    Tani 13 za dhahabu toka Tanzania ziliingia Dubai mwaka 2024 bila kurekodiwa nchini. Zilipitaje?

    Msisahau hii ni awamu ya mama, goli liko wazi hata mastraika butu wanajipigia tu hat trick!!.
Back
Top Bottom