Recent content by A man from Island

  1. A man from Island

    Mke wangu amegundua meseji za mchepuko wangu, nifanyeje?

    Mnapenda umalaya, ila mkifumwa mnaanza kujiliza liza! Ukipata mke aliyetulia na ww tulia! Haya sasa akiamua kulipa kisasi utajuta!
  2. A man from Island

    Katimba: Tanzania imepiga hatua katika upatikanaji wa haki

    Toka nilivyoelewa hawa watu kuwa huwa wanaongea kinyume sipati shida sana! Hayo maneno yageuze kinyume ndio utaelewa anamaanisha nini! Ki ukwel yupo sahih sana
  3. A man from Island

    Wakuu, mnanishauri nini kwenye hili?

    Kwa hizi akili za kuwadha ngono tu CCM watatutawala had kiama, maana watu wanawadha ngono hata mahali pasipotakiwa!
  4. A man from Island

    Detectors Za Kutafutia Dhahabu.

    Duh! Uzi umechangamka
  5. A man from Island

    TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Hata cha kuandika kimenikosa! Acha nikae tu kimya.
  6. A man from Island

    Kuna mwenye abc za wanawake wa kipare?

    Tatzo siku hz wanawake wanatabia za kivyao vyao hawakop kutoka katka makabila yao! Kwasasa kuoa ni kubahatisha, ukiokota joker bac, ukiokota bwana fresh!
  7. A man from Island

    Mwenye Ufahamu/kumbukumbu muhimu kwangu nitatoa asante kwake

    Hizo nyimbo ukicheza na google unazipata zote!
  8. A man from Island

    Mtu anaomba namba, halafu anakuja kujaza inbox ya simu na "Habari" kibao

    After JF VAR checking; Hizo mesej ulikuwa ukijitumia!
  9. A man from Island

    Usishangae kesho

    Yote yanawezekana! Ila siasa za bongo jau tu, usishangae kesho ama kesho kutwa chama pinzan (unknown) kikashika hatamu, wale tunaowaita mafisadi leo katka chama tawala wakahamia katka hicho chama tawala na wale wale wakaendelea kutuongoza! Siasa za bongo, upinzan ni wale wale, watawala ni wale...
  10. A man from Island

    Mbona google haifunguki

    Nilijua ni kwangu tu!
  11. A man from Island

    Sababu 10 za watanzania kuwa masikini

    Hamna la maana hapo, zaid sana ukifata hizo kanuni utapata maisha ya kawaida tu (sio masikin wala sio tajiri), ila ukitaka kuwa tajir lazima ufanye vitu tofaut na watu wengne! Vingnevyo utahaso sana ila maisha yako yataishia kuwa ya kawaida tu!
  12. A man from Island

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Tatizo ukioa single mother na ukawa unamhudumia mtoto wake kwa kila kitu, siku ukija kutibuana na huyo single mother mkaachana, huyo mtoto hatokujua pia, hata kama umemgharamia kiasi gan! Ikumbukwe, huyo mtoto akikua atamtafta babaake na mapenz yote atayapeleka kwa babaake
  13. A man from Island

    Jeshi la Polisi linamshikilia mtuhumiwa kwa kuharibu mali za kampuni ya ujenzi

    Kwa inchi yetu ukiwa huna kitu mfukoni halaf ufanye kesi na mtu mwenye pesa na connection ya watu kibao, hautoambulia chochote, utasaga miguu bure! Maamz ni hayo jitoe kafala ki hvyo umtie hasara zaid ya pesa unayomdai!
  14. A man from Island

    Jeshi la Polisi linamshikilia mtuhumiwa kwa kuharibu mali za kampuni ya ujenzi

    Angelikua ni ndgu yako kadhurumiwa hivyo, ungelisema huo ujinga! Hawa wagen wanatoka nje kuja kuwekeza katka inchi yetu wanatufanya mazuzu, ifike mahali tuungane! NOTE; Nipo tayal kumuchangia jamaa atafutwe wakili wa kumtetea katka hiyo kesi!
Back
Top Bottom