Chief-Mkwawa
Reaction score
44,418

Live New Posts Postings About

    • Chief-Mkwawa reacted to kibodiCoffe's post in the thread Laptop mpya with Thanks Thanks.
      Ukichukua mtumba, kabla ya kulipa fungua Command Prompt kwenye hiyo laptop uandike powercfg /batteryreport. Inatoa ripoti ya betri...
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      Machine nzuri sana hio, Lunar lake, japo bei imechamgamka kidogo ila machine nzuri. Gpu yake ya ndani ni kama rtx 3050 na haili umeme...
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      Zaidi ya crypto mkuu, maana ile ilisumbua gpu tu, sasa hivi CPU, ram, gpu, to the point hadi simu Nazo hazijasalimika, na watu...
    • Call of Duty ukiicheza ukiwa unaelewa missions zinataka nini, ni games tamu saana hizi COD, pia ukitaka uifaidi vizuri unganisha na...
    • Nafkiria mwakani kuvuta Lenovo Legion, Laptop za Lenovo nazielewa kwa uimara na naona hata wengi pia wanazipa credit eneo hilo...
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      2-3 unaanza kupata laptop nzuri mpya, ukiwa professional zaidi ya hapo, sema ni suala la muda tu, ukiskia makampuni ya Ai yanaanza...
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      Kwa excel ukiwa na numpad ni bonus, ukipata thinkpad ya kuanzia gen ya 11 ni nzuri. Mfano thinkpad L15 gen 2, hii around laki 5-6...
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      Matumizi yako ni yapi? Ya kiofisi, creativity, gaming etc
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      Unapata laptop nzuri nyingi tu, kila bei hadi laki 3, Around laki 5-6 unapata laptop za gen ya 11-12 dukani na mtaani hadi laki 3-4...
    • Chief-Mkwawa replied to the thread Laptop mpya.
      11 gen, 12 gen, 13 gen, 14gen, 100 series, 200 series, 300 series (tupo hapa sasa hivi) na soon 400 series inazinduliwa. So gen ya 11...
  • Loading…
  • Loading…
Back
Top Bottom