Zaidi ya crypto mkuu, maana ile ilisumbua gpu tu, sasa hivi CPU, ram, gpu, to the point hadi simu Nazo hazijasalimika, na watu wanafungia tu ndani, hata hawazitumii. Reports nyingi zinatoka sasa hivi Kina Microsoft, Google, FB na wengineo hizo ram hata hawazitumii zote wanaweka tu ndani kwa...