Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

2 Votes
From Waste to Wealth: Revolutionizing Mine Closure in Tanzania As global mining activities intensify, the challenge of responsible mine closure has become increasingly urgent. Tanzania, with its...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali...
1 Reactions
2 Replies
530 Views
Upvote 2
2 Votes
In Tanzania, accessing quality healthcare is a fundamental right, yet it remains a significant challenge for many. The crux of this issue lies in the accessibility and availability of medical...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Upvote 2
1 Vote
Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Upvote 1
3 Votes
UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Upvote 3
4 Votes
As they say "trust the path you choose it will protect you" small semi processing industries(SSPIs) as small and many industries that are specialized to convert intermidiate product in usefull...
1 Reactions
4 Replies
454 Views
Upvote 4
2 Votes
Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi. Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili...
1 Reactions
0 Replies
485 Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi: Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Upvote 2
2 Votes
1. Kukuza thamani ya pesa ya Tanzania 2. Kubadisha mfumo wa elimu ya Tanzania 3. Kulipa madeni yote ambayo Tanzania inadaiwa Kivipi haya yote yatawezekana serikali ya Tanzania inatakiwa kujenga...
1 Reactions
1 Replies
316 Views
Upvote 2
3 Votes
Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea uwepo wa nishati bora katika kufanya shughuli zake, nchi maka Marekani, Urusi, china na nyinginezo zimeendelea kwa sababu ya ubora wa nishati...
1 Reactions
0 Replies
239 Views
Upvote 3
3 Votes
Nchi yoyote ile ili iwe na uchumi imara inatakiwa kuwa na miundombinu ya uhakika kwa ajili ya usafirishaji, usambazaji wa bidhaa kutoka eneo moja kwenda jingine. 1: Katika Tanzania tuitakayo...
2 Reactions
0 Replies
276 Views
Upvote 3
28 Votes
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
8 Reactions
80 Replies
4K Views
Upvote 28
138 Votes
Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya...
73 Reactions
118 Replies
7K Views
Upvote 138
1 Vote
Wananchi wa kata ya Kiru wilaya ya Babati mkoani Manyara wameiomba serikali kukarabati zahanati ya Kiru six inayotegemewa na vijiji sita vya kata hiyo na vijiji jirani, ili iweze kutoa huduma bora...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Upvote 1
3 Votes
Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza...
1 Reactions
0 Replies
353 Views
Upvote 3
3 Votes
Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye? Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe...
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Upvote 3
3 Votes
Elimu ni kurithisha au kuhamisha maarifa, ujuzi, taarifa au taaluma kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Malengo ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania kuanzia 2025 adi 2050 yawe ni i. Kurithisha...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Upvote 3
13 Votes
Leo ningependa kuzungumzia suala la uongozi, siasa, na utumishi wa umma kwa ujumla. Kuna mambo kadha wa kadha ninayaona katika nchi yangu, na mimi kama kijana nimepata mawazo ya kuyawasilisha...
4 Reactions
12 Replies
675 Views
Upvote 13
1 Vote
Barabara kama njia kuu ya usafiri Tanzania ina jumla ya kilomita 181602.2 za mtandao wa barabara, chini ya mgawanyo wa Kilomita 37225.5 barabara za kitaifa (barabara kuu na za kimkoa) na kilomita...
0 Reactions
4 Replies
599 Views
Upvote 1
2 Votes
UTANGULIZI Tanzania imeendelea kukumbwa na changamoto ya ukatili kwa makundi mbalimbali, watoto wakiwa ni miongoni mwa kundi hili. Kundi hili limekua likikumbwa na adha za ukatili wa jinsi, ndoa...
0 Reactions
6 Replies
571 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom