Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Bunge la serikali ya Rwanda, lipo katika hatua za mwisho kutia saini sheria inayomruhusu mtoto wa miaka 15 kupata huduma ya uzazi wa mpango bila wazazi wake kushilikishwa. Je, ikiwa bunge...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Mara nyingi utaonekana kama msumbufu au mkorofi pale unapoweka mipaka na kutoruhusu watu kukufanyia wanavyotaka
1 Reactions
6 Replies
178 Views
Mambo yote watu wanayohusisha ndoa na Mungu yanatoka wapi? Alieandika amri 10, kama hakusahau kuhusu ndoa, ni kwamba ni jambo lisilo na umhimu. Mungu aliacha zivurugike makusudikali.
1 Reactions
3 Replies
192 Views
Kila mtu siku zote hujiuliza lipi afanye, ili aweze kufikia walipo wale anaowachukulia kama mifano ya kuigwa(role models). Kila mtu hujiuliza siri ya mafanikio yao kupata walicho nacho, au...
1 Reactions
2 Replies
103 Views
Hivi, swali hili linalenga sana wanaume. Ukimkataa mtoto, na mwisho wa siku mahakama inaamuru kipimo cha DNA kifanyike, mtoto anakutwa wa kwako, akikuwa, utamueleza nini?
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Mwanaume, unakaa na mwanamke, unamzalisha, umri unamtupa nachakaa, unamuona wa nini, unamkimbia na kila kitu. Jamani, mtu kama humtaki, na umekaa ukafikilia ukaona hafai kuwa tena mkeo, kumbuka...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Wapenzi wa Iphone, ina nini kinachozidi Android?
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Wanawake kumbukeni. Mnavyolingaga kama hawachuji. Kila kukicha siku zinapungua, ngozi inasinyaa, kasura kanakolipa, sijui labda nyie mna maelezo.
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Mabomba ya maji ndo haya sasa.
0 Reactions
1 Replies
107 Views
SIKATAI niko kuwa nimeolewa.. Lakini, kuna haka kashikaji kamehamia majuzi, ni moto wa kuotea mbali. Kajinga kashanichanganya hadi nikaamuwa nimdanganye mme wangu kuwa naenda kumuona dada...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Nchini Kenya, umri wa kuruhusiwa kunywa pombe, umetoka 18 hadi 21. Nchini Rwanda, baa na maeneo mengine, japo umri ni miaka 18, lakini masaa yamepunguzwa. Muda elekezi ni kutoka saa kumi jioni...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Back
Top Bottom