Hapa katikati sikufuatilia sana, lakini jana nilisikiliza defense yake and I have to say hata mimi ningekuwa jury ningelazimika kumwachia kwa sababu there is reasonable doubt, na hakuna substantial proof kwamba alihusika na mauaji. Ushahidi wa mtu kusema eti Zombe alimwagiza is hearsay, there is nothing else tying Zombe to the crime. Prosecution ilichemka I think, na DPP alitaka sifa na aliharakisha hii kesi bila evidence ya kutosha. Ngoja mtaona kesi ya akina Mramba pia, they will walk.

Nimpokea sms hiyo kutoka kwa ndugu yangu akniarifu kuwa ndugu yetu mmoja ambaye ni miongoni mwa Polisi waliotuhumiwa kufanya mauaji ya wafanyaboashara wa Madini kutoka Morogoro ameachiwa.
Mliopo huko Dar mtujuze- walioachiwa ni wangapi, Zombe yumo kati ya hao?
Nimepokea sms mchana huu kuwa baadhi ya Watuhumiwa katika kesi ya mauaji inayomkabili kamanda Zombe na wenzake wamekutwa hawana mashitaka ya kijujibu. Nimpokea sms hiyo kutoka kwa ndugu yangu akniarifu kuwa ndugu yetu mmoja ambaye ni miongoni mwa Polisi waliotuhumiwa kufanya mauaji ya wafanyaboashara wa Madini kutoka Morogoro ameachiwa.
Mliopo huko Dar mtujuze- walioachiwa ni wangapi, Zombe yumo kati ya hao?
Kwa mujibu wa habari za TBC1 (saa 7 mchana), Zombe na baadhi ya wenzake wana kesi ya kujibu. Hata hivyo watuhumiwa watatu wameachiwa huru baada ya ushahidi uliotolewa mahakamani kushindwa walishiriki vipi katika kosa walilokuwa wanatuhumiwa kulitenda.
NB:Mod unaweza kuinginisha thread hii na ile nyingine iliyokuwa inaongelea kesi za ya Zombe.
Mkuu wakati tunasubiri nani wana kesi ya kujibu, tunaomba ututajie huyo aliyeachiwa. Lakini kama hutumii jina lako humu, usitaje manake ukimtaja ndugu yawezekana ikawa sababu ya kukujua. Manake humu JF kuna wanaoingia kwa majina yao, na kuna wana majina ya mtandaoni.
Kesi ya Zombe: Watatu waachiwa huru
Zombe alisikika akisema mambo yote kesho
Majigambo ya Zombe katika kesi hii yanafanana sana na ya Bwana Saddam Hussein. Mwisho wa yote, kuna harufu ya hukumu yao kuwa moja.

Mkuu
Zombe sio kama hajuhi kuwa yeye ana kesi ya kujibu bali pia kuna vigogo walihusika ila walifichwa,yeye itabidi awachie shuzi lao pia siku ya siku