katika mipangilio ya maisha mnaamua wewe na mwenzio kutumia kondom, baada ya kujaribu hizi na zile mnakuta brand inayowavutia zaidi kwenye tendo, kuondoa usumbufu unaamua kununua box zima ambalo ndani yake kuna paketi ndogo ndogo za tatu tatu na ziko kama 50 hivi!kwa sababu moja au nyingine inafika wakati mnakinai/mnapata njia mbadala ya kupanga uzazi, hivyo mnaachana na kondom, siku zinasonga na maisha yanakwenda kama kawaida, baada ya muda katika kupanga panga chumbani kwenu unalikuta lile box la kondom, kulifungua unakuta zimepungua mno tofauti na wakati mnaacha kuzitumia,....watoto wako ni wadogo na chumbani kwenu ni wewe tu na mwenzio mna funguo!...utashukuru kuwa mwenzio anajali na anatumia kinga au hasira ya mwenzio kumegwa/kumega nje au au auuu.................
utamuuliza kwanza, pengine alipungukiwa na hela ya kununulia mboga akaamua achukue nusu kiboksi cha kondom amuuzie jirani. au pengine panya wametafuna baadhi, kuna condom nyengine zinakuwa na uharufu harufu wa samaki .
sio masihara ,hayo niliokueleza tayari yashawahi kutokea . kuwa makini kabla hujamfikiria mwenzio balaa la uzinifu.

I never believe in condoms..Niliamua toka mapema sana..And i thank God for that!...Look, finally its working!Hapo ndugu frahi kuwa jamaa ana jali lasivyo angekuwa anakwenda kavu kavu ingekuwa balaa.
.We akikwambia zimetumikautaelewa? au unataka kujua pia kaitumia kwa nani???Condom huonyesha unajali ...lakini hapo loh
heshima mbele mukubwa! I am the he!, lakini swali nimelenga kwa jinsia zote, kama ni she basi he afanye hivyo.. vice versa!Kilambi kwani wewe jinsia gani hadi ikuume ivo?
kushukuru na kunyamaza kimya ni kosa kubwa sana,zaidi ya kusalitiMi ntashukuru tu kimyakimya na kujipa moyo na kuendelea na maisha.
utamuuliza kwanza, pengine alipungukiwa na hela ya kununulia mboga akaamua achukue nusu kiboksi cha kondom amuuzie jirani. au pengine panya wametafuna baadhi, kuna condom nyengine zinakuwa na uharufu harufu wa samaki .
sio masihara ,hayo niliokueleza tayari yashawahi kutokea . kuwa makini kabla hujamfikiria mwenzio balaa la uzinifu.
.We akikwambia zimetumikautaelewa? au unataka kujua pia kaitumia kwa nani???
hahahahaha we dawa ya maralia unachekesha