VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mi kazi yangu this time ni udalali tu, Muda si mrefu viwanja vya pinda kigamboni vinaingia sokoni.
Miguu arobaini kwa ishirini milioni tatu.
.... Acha Uwongo
Mimi siishi Tanzania, ila naishi hapa old Europe kwa miaka mingi sasa tayari nina wajukuu hapa ila napenda sana makala zako na post zako ningependa sana tuongee, sababu pia unaandika kiswahili cha misamiati mizuri, napenda watoto wangu na wajukuu zangu wajue kiswahili, bado nawafundisha kwa kutumia vitabu vya Bulicheka, kama wimbo wa kisichana chini ya mti alisuka kitunga, na Maganga hodari kavuka ziwa nyasa, lakini wewe nakuona upo vizuri sana kwenye kiswahili na misamiati yake.pia muda mwingine natumia vitabu vya mzee mmoja pale chuo kikuu yule mwingereza aliye amua kuwa mbongo makengeza jina kama hilo yupo kitivo cha lugha. ningeomba ni beep tuongee bado nitaweka jina lako anoniem.We mzee tupatupa ni hatare kama si hatari, unaona mbali sana, unakijua chama chako vizuri sana, yaliyo mpata mzee Mangura wote tumeona, lazima wakutafute. you are a leader, a manager and visionar kwa nini wasikutafute uwasaidie
Oke anaitwa mzee Mabara. Namjua sana sababu alifanya kazi na shemeji yangu ambaye sasa yupo nje ya nchi.Niliishi hapo nilisoma hapo kabla sijahamia ugaibuni miaka hiyo.We mzee tupatupa ni hatare kama si hatari, unaona mbali sana, unakijua chama chako vizuri sana, yaliyo mpata mzee Mangura wote tumeona, lazima wakutafute. you are a leader, a manager and visionar kwa nini wasikutafute uwasaidie